Hili nalo neno...!

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
TANZANIA YA MIAKA IPATAYO KUMI NA SITA SASA IMEJAALIWA KUWA NA VIONGOZI, WANASIASA NA WATAWALA MAJEURI!!!
Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi wakihojiwa...

Nitawakumbusha baadhi ya kauli zao:

"HATA MKILA NYASI NDEGE ITANUNULIWA..."

"WAPUUZI WAKUBWA NA WANA WIVU WA KIJINGA!"

"ULITAKA POSHO AICHUKUE BABA YAKO!"

"NYIE VIPI? HAYO SI MASWALI YA KUNIULIZA NI MAMBO YANGU BINAFSI!"

"NIMESEMA SINA MAJIBU NENDENI KOKOTE!"

Mnaweza kukumbuka zinginezo na tujiulize kwanini hawa viongozi na wanasiasa zetu wana viburi na jeuri hizi?
 
Mkuu umesahau ile ya hivi majuzi ya kuitwa Mbayuwayu.
Ndio maana nataka tuzijadili zote hizo sababu yake ni nini? Na tutajivua vipi hili janga!! Madaraka tuwape sisi bado wasitake tuwahoji? Kwanini wana VIBRI na JEURI???
 
tanzania ya miaka ipatayo kumi na sita sasa imejaaliwa kuwa na viongozi, wanasiasa na watawala majeuri!!!
Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi wakihojiwa...

Nitawakumbusha baadhi ya kauli zao:

"hata mkila nyasi ndege itanunuliwa..."

"wapuuzi wakubwa na wana wivu wa kijinga!"

"ulitaka posho aichukue baba yako!"

"nyie vipi? Hayo si maswali ya kuniuliza ni mambo yangu binafsi!"

"nimesema sina majibu nendeni kokote!"

mnaweza kukumbuka zinginezo na tujiulize kwanini hawa viongozi na wanasiasa zetu wana viburi na jeuri hizi?
wivu wa kike
kiherehere chao
mimi ndo mwajiri mkuu
wafanya kazi watapigwa na ffu wakiandamana
 
"Tutashinda kwa vyovyote"

"Ushindi lazima"

"Polisi wakiwa wanatekeleza majukumu yao anaweza kufa mtu kwa bahati mbaya"

"Tutakufukuza katika chama na uchaguzi ukifanyika tutashinda"
 
TANZANIA YA MIAKA IPATAYO KUMI NA SITA SASA IMEJAALIWA KUWA NA VIONGOZI, WANASIASA NA WATAWALA MAJEURI!!!Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi wakihojiwa...Nitawakumbusha baadhi ya kauli zao:"HATA MKILA NYASI NDEGE ITANUNULIWA...""WAPUUZI WAKUBWA NA WANA WIVU WA KIJINGA!""ULITAKA POSHO AICHUKUE BABA YAKO!""NYIE VIPI? HAYO SI MASWALI YA KUNIULIZA NI MAMBO YANGU BINAFSI!""NIMESEMA SINA MAJIBU NENDENI KOKOTE!"Mnaweza kukumbuka zinginezo na tujiulize kwanini hawa viongozi na wanasiasa zetu wana viburi na jeuri hizi?
hata we umekurupuka. Tuambie nani kasema ndo utaeleweka
 
Nitajenga Machinga Complex mbili Arusha mkinichagua, vile vile tajenga SKYOVER " LEMA"
 
"nani aliyewambia mteue wagombea urais wenye sura mbaya" by mkapa......reply ya mrema sasa "wewe mkapa ingekuwa watu wanachagua sura basi usingekuwa rais 1995 coz mimi nini sura nzuri kukuzidi"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom