Watanzania tunaogopa dola, hatuwezi mass action? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunaogopa dola, hatuwezi mass action?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikiolakufa, Jul 16, 2011.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nilivutiwa sana na mjadala bungeni jana, ni dhahiri baadhi ya wabunge walionyesha hisia kali kutokana na serikali kutokuwa na maamuzi muafaka juu ya mgao wa umeme na matatizo mengine kwa ujumla...kituo cha television cha itv kilikuwa na mjadala wa wanaharakati wakijadili kwa nini serikali imeshindwa kutatua matatizo ya umeme hakika walikuwa na hisia kali kiasi kwamba nilishawishika iwapo chama chochote cha upinzani kikianzisha mass action nitashiriki kwa gharama yoyote ile...lakini nikajiuliza kwa mara nyingine...je kwa upole wetu watanzania tunaweza kujitoa muhanga kumwaga damu ili kufikisha ujumbe kwa serikali dhalimu isiyojali wanyonge kama ilivyokuwa kule thailand mwaka jana? Nadhani bado ni waoga sana tunaogopa dola ingawa mkuu wa nchi tayari kesha onyesha udhaifu mkubwa. Nani wa kuanzisha mass action? Nisaidieni​
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  tunapenda giza bado..tukitaka umemem tutaupata
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Bado bado kidogo! Mpaka kizazi chetu sisi wa enzi ya chama kimoja tumalizike kwa kufa!
   
 4. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Generation ya 2005 iliyoanza migomo serious vyuoni ikifikisha miaka kumi na tano toka kipindi hicho,tayarii itakua na kizazi cha umri wa miaka 15 ambayo ni teens kilichozaliwa chenye umri wa kuamua kipi kizuri na kipi kibaya na tayari kiko kayumba sekondari school.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ebo..kwlei hadi kizazi cha kina MS kipotee
   
 6. D

  Dopas JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu jawabu umetoa tayari. Serikali dhalimu kawaida haijali hata damu imwagikeje? Rejea mifano tu ya karibu.
  Ni watanzania wangapi walipoteza maisha yao wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa mwaka jana, na hata baada ya uchaguzi. Na kwanini walikufa.... nguvu ya dola nani anaiamuru iwaue raia.....
  Rejea tu mauaji ya Arusha, 5.1.2011.
  Je serikali hata imestuka? Isipokuwa tu kusingizia kuwa CDM ndo wamesabisha.
  Lakini jiulize kwanini wale watu walikufa...
  Tufahamu kuwa serikali dhalimu huwa haijali hata damu imwagikeje.... lakini ipo siku....
  Hata hivyo naungana nawe kuwa nguvu ya umma tu itakuwa suluhisho kwa yote hayo yasababishwayo na serikali dhalimu....
   
 7. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Well said!! And that moment is coming very soon, even before we die!!!!
   
Loading...