Waziri ngeleja aonyesha ukarimu mwafrika!

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Kumbe Mawaziri wetu ni wakarimu kiasi hiki!
Jana Mbunge Machachari Mh.Anne Kilango,Akichangia hoja ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Sauti ya Msisitizo na Kiapo kikali alisema katu hataunga mkono hoja ya Waziri Ngeleja hata Kama Ngeleja aliwahi kumnunulia Kikombe cha Chai!
Najiuliza kidogo,Waziri kununulia Mbunge kikombe chai ni Ukarimu wa Mtanzania?
 
Mkuu unatujazia utumbo tu humu JF (siasa) kwanini usipeleke huko kwenye jokes etc. thread yako haina maana kabisa.
 
Back
Top Bottom