siku EL akiachia ngazi.. tutegemee nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siku EL akiachia ngazi.. tutegemee nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saint Ivuga, Jul 16, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,504
  Likes Received: 19,920
  Trophy Points: 280
  Si siku nyingi zilizopita tumeona jinsi watu wananzia wanaopigwa na mgao wa umeme au unaweza kukuta hata nyumba zao hazijaunganishiwa umeme wakizimia na kulia siku ambayo RA aliachia ngazi kwa shinikizo na Chadema.. sasa tutegemee nini siku ambayo El atatangaza kun'gatuka? huyu jamaa ni kipenzi cha wengi (except me) ukianzia jimboni kwake hadi kwa wachungaji na siku chache zilizopita tulishudia mmoja wa wachungaji akisema kuwa EL asipokuwa rais wa Tanzania yeye atakufa live. mchungaji kasema hivi sasa hao waumini na wapenzi wake wa jimboni mwake watasemaje? tutegemee jimbo zima kuzizima kwa watu kuzimia au hata wengine kufariki kwa presha?
   
Loading...