Kikwete alijiandaa kuhamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete alijiandaa kuhamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msema hovyo, Jul 15, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Taarifa za ndani, zinapasha kwamba katika harakati za uchaguzi wa Rais za mwaka 2005, Kikwete alijiandaa kuhamia CHADEMA iwapo NEC ya CCM isingempitisha kugombea Urais. Na inasemekana kwamba mkakati kabambe ulishaandaliwa na mafisadi wa CCM (Rostam na Lowassa) kuhakikisha kwamba Kikwete anashinda Urais kupitia CHADEMA. Mkapa alinusa hilo, ndiyo maana aliamua kumuacha Kikwete apite hata kama target yake ilikuwa ni Salim A Salim

  Inasemekana pia, kwamba Mheshimiwa Mbowe alikuwa well informed kuhusu hilo, na alikuwa anasubiri tu maamuzi ya NEC ya CCM, ndipo aamue nani awe mgombea Urais kupitia CHADEMA. Kwa taarifa za ndani, ni kwamba baada ya Rostam kujiuzulu, mafisadi wengine pia kama Lowassa na Chenge watajiuzulu, na watajitahidi kutumia vyombo vya habari na pesa kujisafisha kutoka sasa hadi hapo 2014 ambapo watahamia rasmi CHADEMA. Maamuzi ya ama kuwa CHADEMA au chama kingine yatategemea pia mtizamo wa akina Mbowe na Slaa ambao wanaonekana kuwa ni threat kwa hao mapacha watatu.

  Binafsi ninaungana na Lowassa kuhamia CHADEMA, nina imani kwa kufanya hivyo atawezesha upinzani kushika dola kama ambavyo aliamini angemuwezesha Kikwete kushika dola kupitia CHADEMA. Tena kwa kuwa atakuwa ana kisilani na CCM Lowassa akiingia madarakani kupitia CHADEMA atahakikisha anawashughulikia wale wafujaji wa mali za umma wote waliopo CCM akiwemo na Kikwete, na kujitahidi kufanya vema zaidi katika uongozi wake ili kuwaonyesha CCM kwamba yeye si kama wao.

  Zaidi ya yote mimi ninamuona Lowassa kama ni strong leader, akishika nafasi ya Urais atafanya vema. Nawaombeni CHADEMA mpokeeni Lowassa.

  Lakini msiniulize source, sawa!!?

  Nawasilisha.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lini umepimwa akili yako una kichaa kwa tathmini ya haraka unahitaji kuwa chini ya uangalizi maalum kwa babu Samunge
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndani ya post yako kuna hoja. Hilo la kuhamia CHADEMA mwaka 2005 ni kweli lilivuma sana na ilikuwa CCM imegeke mapande mapande kama JK asingepitishwa!

  Mengine no comment
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona unachakachuwa, ilikuwa ahamie CUF.
   
 5. S

  Salimia JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwahiyo kumbe cdm si kwamba inapinga ufisadi ila wanachotaka wao ni kukamata dola tu? huu uchu wa madaraka ndiyo unaoimaliza nchi hii.
   
 6. themagainst

  themagainst Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nyoka ni nyoka tu,usijipe moyo.......chadema will always be as it is.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wengine hatupo nchi hii eeeh tunashukuru kwa taarifa!
   
 8. i

  iMind JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ndoto nyingine aisee. haiwezi kutokea hii, na wala hakuna yeyote mwenye hilo wazo kati ya hao uliowataja
   
 9. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mawazo yako na mtazamo wako
   
 10. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Endelea kuwasilisha ndugu yangu....
   
 11. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hata mimi niliisikia hiyo rumour from a top CCM insider...........................
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kweli wewe ni msema hovyo!!
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ambacho huelewi ni nini!?
  Ufisadi ni system na si mtu! ccm wanaruhusu ufisadi na ndo maana unaona mpaka kwenye chama mambo yoote yanafanyika kifisadifisadi tuu!
  Chadema wanataka waondoe mfumu huu wa ufisadi ili kila mtu aweze kuongoza nchi safi but ccm wameshindwa!
  Na ndo maana solution ya kuchakachua mafuta kwao nikupandisha bei ya mafuta ya taa!
  Sasa watu wenye mawazo hayo na miupara yao huu ni ufisadi na MFUMO unawafanya hivyo,
  njoo kwenye mambo ya ujenzi wa serikali kila kitu ni Ufisadi hata kama ccm wakiamua kufukuza basi watakwisha woote
  TUSHILIKIANE KONDOA MFUMO HUU MBOVU WA UFISADI NA SI KUNYONGA WATU EETI NDO TUNAUKIMBIA UFISADI!
   
 14. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Itabaki tetesi.Lakini kama unavyodai ni kweli,je ingetokea Kikwete akahamia chadema na ccm wakamsimamisha Salim,wewe unadhani Kikwete angeshinda?Kuhusu Lowasa na kundi lake kuhamia chadema au kuanzisha chama kipya cha upinzani kuelekea uchaguzi wa 2015,naona ni habari njema tu!
   
 15. S

  Salimia JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ufisadi ungekuwa mfumo na siyo mtu kama unavyodai,,,,sidhani kama hao wangeitwa mafisadi. Bahati mbay....ndivyo wanavyoitwawakiwa kama watu
   
 16. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kama vile ulikuwa kwenye mawazo yangu.
   
 17. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye red, sio sahihi kwa CDM kupokea magamba kutoka CCM. Lowasa hafai tena na fikra kwamba waliobaki wote kama milioni arobani hakuna kiongozi wa kufaa CDM bali Lowasa ni mawazo mgando. Bora kutoshika dola kuliko kushika dola na viongozi makanjanja.

  Kwenye blue, unatoa hilo ombi wewe ukiwa wapi? CCM au CCJ? Kwa statement yako wewe sio CDM sasa nashindwa kuelewa kivipi unaitakia CDM mema? Nafikiri ni kinyume chake.
   
 18. k

  kiloni JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  WEWE hatutaki uchafu. Tumpeleke wapi Doctor wa UKWELI!???
   
 19. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #19
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haha ujumbe umefika. Unafiki wa kikwete umewekwa hadharani. Ajabu iliyopo kwa magamba kumpa uenyekiti wa chama mtu aliyekuwa amejiandaa kukikimbia?
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  na chadema walitanguliziwa bilioni tatu na wanamtandao
  na hiyo ni open secret
  but wanachama wengi hawajui
   
Loading...