Zitto ametetea vipi maslahi ya Kigoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto ametetea vipi maslahi ya Kigoma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACTIVISTA, Jul 15, 2011.

 1. A

  ACTIVISTA Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii ni awAmu ya pili kwa zito kuwemo bungeni akiwawakilsha wakazi wa KIGOMA KASKAZINI, kwa kipindi chote mpaka leo ZITTO hajawhi kusimama bungeni kuwasilisha kuhusu jimbo lake. KIGOMA ni mkoa wenye rasilimali za kutosha ila serikali ya NYERERE na CCM kwa ujumla waliamua kuutekeleza mkoa huo kwa sababu za kisiasa,ZITTO anafahamu fursa zilizopo huko lakini hadhubutu kuwatetea wana kigoma, NAMPONGEZA ZITTO anweza kujenga hoja nzuri lakini kwanii umakini wa hoja zake hauelekezi kuwakomboa wapiga kula wake..... kuna ishu nyeti nyingi kuhusu kigoma ambazo serikali inauhujumu mkoa huo kwa makusudi ila ZITTO hasemi wakati anazijua, kwa mfano, Tangu UHURU KIGOMA HAIJAWAHI KUPATA UMMEME HATA WILAYANI, wanategemea majenereta mabovu ambayo hayana tija, achila mbali hilo RAISI BUSHI ALITOA PESA UMEME UZALISHWE MALAGALASI SERIKALI AKATAFUNA PESA HIZO NA KUDAI KUWA MALAGALASI KUNA VYURA AMBAO HAWAPATIKANI DUNIA NZIMA, HIVI WAKAZI WA KIGOMA NA HAO VYURA KIPI KINADHAMANI, HAO VYURA NA VIWANDA VINAVYOKUFA KILA KUKICHA KWA KUKOSA UMMEME KIPI BORA............ HIYO PILI, BAJETI YA MWAKA JANA SERIKALI ILTENGA PESA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA MKOA WA KIGOMA PESA ZILE SERIKALI IKAZIHAMISHIA KWENYE MATUMIZI YA KAWAIDA KIMYA KIMYA, KABWE ZITTO HAYA HAONI KAMA YAAAANA UMUHIMU, HAYASHIKII KDETE, HAYAZUNGUMZII BUNGENI WALA HAONYESHI KUFEDHHESHWA NA HUJUMA HIZI ZIDI YA MKOA WAKE, RELI NDO USAFIRIR PEKEE WA UHAKIKA KUFIKA KIGOMA, SAS YAPATA ZAIDI YA MIAKA MIWILI RELI HAIFANYI KAZI, HILI PIA KWA ZITTO HALINA UMUHIMU, DARAJA LA MALAGARSI TANGU UHURU NI AHADI ZITTO HAYAONI HAYA......................MIMI NAPATA WASIWASI NA MAPENZI YA ZITTO NA KIGOMA YAKE, NADHANI NDO MAANA ALITAKA KWEND KUGOMBEA GEITA KATIKA UCHAGUZI ILIOPITA..... WADAU KWA MACHAHCHE HAYA NISAIDIENI
   
 2. A

  ACTIVISTA Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii ni awAmu ya pili kwa zito kuwemo bungeni akiwawakilsha wakazi wa KIGOMA KASKAZINI, kwa kipindi chote mpaka leo ZITTO hajawhi kusimama bungeni kuwasilisha kuhusu jimbo lake. KIGOMA ni mkoa wenye rasilimali za kutosha ila serikali ya NERER na CCM kwa ujumla waliamua kuutekeleza mkoa huo kwa sababu za kisiasa,ZITTO, anafahamu fursa zilizopo huko lakini hadhubutu kuwatetea wana kigoma, NAMPONGEZA ZITTO anweza kujenga hoja nzuri lakini kwanii umakini wa hoja zake hauelekezi kuwakomboa wapiga kula wake..... kuna ishu nyeti nyingi kuhusu kigoma ambazo serikali inauhujumu mkoa huo kwa makusudi ila ZITTO hasemi wakati anazijua, kwa mfano, Tangu UHURU KIGOMA HAIJAWAHI KUPATA UMMEME HATA WILAYANI, wanategemea majenereta mabovu ambayo hayana tija, achila mbali hilo RAISI BUSHI ALITOA PESA UMEME UZALISHWE MALAGALASI SERIKALI AKATAFUNA PESA HIZO NA KUDAI KUWA MALAGALASI KUNA VYURA AMBAO HAWAPATIKANI DUNIA NZIMA, HIVI WAKAZI WA KIGOMA NA HAO VYURA KIPI KINADHAMANI, HAO VYURA NA VIWANDA VINAVYOKUFA KILA KUKICHA KWA KUKOSA UMMEME KIPI BORA............ HIYO PILI, BAJETI YA MWAKA JANA SERIKALI ILTENGA PESA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA MKOA WA KIGOMA PESA ZILE SERIKALI IKAZIHAMISHIA KWENYE MATUMIZI YA KAWAIDA KIMYA KIMYA, KABWE ZITTO HAYA HAONI KAMA YAAAANA UMUHIMU, HAYASHIKII KDETE, HAYAZUNGUMZII BUNGENI WALA HAONYESHI KUFEDHHESHWA NA HUJUMA HIZI ZIDI YA MKOA WAKE, RELI NDO USAFIRIR PEKEE WA UHAKIKA KUFIKA KIGOMA, SAS YAPATA ZAIDI YA MIAKA MIWILI RELI HAIFANYI KAZI, HILI PIA KWA ZITTO HALINA UMUHIMU, DARAJA LA MALAGARSI TANGU UHURU NI AHADI ZITTO HAYAONI HAYA......................MIMI NAPATA WASIWASI NA MAPENZI YA ZITTO NA KIGOMA YAKE, NADHANI NDO MAANA ALITAKA KWEND KUGOMBEA GEITA KATIKA UCHAGUZI ILIOPITA..... WADAU KWA MACHAHCHE HAYA NISAIDIENI
   
 3. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Vyura ni kihansi sio malagarasi, na MCC walipotoa hela za mradi walipima na kuona kuna viumbe hai vya aina mbalimbali hivyo they resorted kutumia hela hizo kwa ajili ya barabara wao ndio watoaji hela ...japo nia ilikuwa umeme...ingawaje hawajafuta mpango mzima huoHela za MCC zinasimamiwa kikamilifu na MCA T hapahapa nchiniKama una data yakinifu zianishe vizuri umPM bado anachangia hoja j3
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  jaribu kusoma kazi za mbunge na uzielewe, unaweza kuifuatilia serikali maofisini kutekeleza .... au kuwasilisha hoja kupitia bunge ambapo mara nying majibu yake huwa yamejaa siasa, muulize zitto umeifanyia/umeiwakilisha vipi kigoma kaskazini? atakujibu
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwani wanakigoma hamkujua unafiki wa Zitto kabla? Mngemchagua Robinson Lembo ungekuta hoja zote zilizotajwa hapo juu tayari zimeshafanyiwa kazi!
   
 6. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Activista,

  Rudi hapa ukishajifunza na kufahamu bila kusahau, maana ya maneno "unafiki" na "usaliti". Kichwa cha habari hakiwiani na malalamiko yako. Zitto si mbunge toka enzi za uhuru unazozizungumzia. Zitto si mbunge wa mkoa wa Kigoma, ni mbunge wa "jimbo" la Kigoma Kaskazini. Muulize mbunge wa jimbo lako akupe majibu ya malalamiko yako.

  Kwa jinsi siasa za nchi hii zinavoendeshwa (sijui kama ni sahihi au la), mipango mikubwa ya maendeleo uamliwa na serikali kuu iliyo madarakani. Unamuonea bure Zitto kudhani kusema tu kuwa Kigoma kuna matatizo, serikali itakuja kuyamaliza. Ukimpa Zitto dhamana ya kuongoza serikali, waweza kumuuliza hayo mambo yako.

  Wengi tunasubiri Kigoma iwe kama Dubai. Mbona hili umesahau kumuuliza jamaa wa Magogoni??
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hawa wapiga 'KULA' ni watu wa aina gani ? ni walaji sana wa pilau au dagaa ?
   
 8. A

  ACTIVISTA Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu acha vyura wa kihansi... mradi wa umeme malagalasi umekwama kwa sababu ya vyura........fanya tafititi mkuu hii ndo habari
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Thread ya ovyo kabisa. Haina ukweli wowote
   
 10. A

  ACTIVISTA Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nukili zitto sio mbunge wa kigoma yote, lakini uwiano wa uchangiaji wake bungeni kusu jimbo ni mdogo.... Ni lini zitto kasimama na kuzungumzia kigoma kaskazini.....
   
 11. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Activista,

  Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na sehemu nyingine nyingi - haziko hivi leo kwa sababu wabunge wao walitaja matatizo yao bungeni. Ziko hivi kutokana na mipango ya serikali kuu. Ukiwa umefuatilia Bunge miaka 10 iliyopita, siasa za kibunge zimehama kutoka majimbo kwenda kitaifa. Sehemu zote za nchi zinaathirika japo kwa vipimo tofauti na hilo halitokani na wabunge wa maeneo husika kusema bungeni. Vivutio vya uwekezaji wa mitaji sehemu fulani za nchi uko chini na hili haliwezi kubadilishwa na mbunge mmoja.

  Kuna mambo ya kitaifa yanatusumbua, hebu tuyaangalie kwanza haya. Turekebishe mifumo kisha tuje kwenye mambo yanayohusu majimbo!
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua Zitto alilikuta lile Jimbo katika hali gani?

  Tuache kutoa comments kutokana na ushabiki wa baadhi ya watu walioko hapa JF purposely kwa ajili ya kuchafua watu.Na kwanza sijui malengo ya huyu mwanzilishi wa hii thread.
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  kama una facebook account; mu-add Zitto halafu uangalie mambo aliyoyafanya Zitto jimboni kwake na uache majungu! Katika Wabunge waliofanya makubwa kwa majimbo yao ni Zitto! Kwanza kuna shule na mabweni amesaidia kujenga kwa kupitia wafadhili aliowatafuta yeye mwenyewe! pili kuna mradi wa nyumba za baei nafuu Zitto amefanikiwa kuupeleka Jimboni kwake toka a German org! Pia kuna mradi wa bandari ziwa Tanganyika Zitto amepigania mradi huo! Tatu kuna mradi wa palm oil juzi hapa alikuwa Malaysia akitafuta masoko! Hiyo ni baadhi tu! Kuongea na kutekeleza ni tofauti! Yeye kama Mbunge hajasahau majukumu yake! anapoongea Bungeni, huwa anaongea pia kwa mustakabali wa nchi na hata barabara zilizozinduliwa juzi hapa ni jitihada zake!
   
 14. A

  ACTIVISTA Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ubongo wako umejaa haja kubwa
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tunahitaji sana elimu ya Uraia! toka tumeingia vyama vingi na nafasi za uongozi toka serikali kuu hadi wabunge na madiwani bado wananchi wengi hawafahamu nani ni nani na anawajibika vipi?
   
 17. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ACTIVISTA...Elimika kupitia coments za NewOrder, huitaji tena kuendeleza huu mjadara la sivyo unalako jambo. JF has great thinkers like neworder..period
   
 18. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  acha majungu na kumjengea zitto taswira mbaya mbele ya wana kigoma kaskazini na watanzania kwa ujumla. nina wasiwasi na malengo ya thread yako!
   
 19. p

  politiki JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  KWAKO NDUGU ACTIVISTA.

  wewe na wenzako wengine kutoka kighoma mnaweza kuleta maendeleo kighoma bila ya serikali mikoa yote ambayo haina program za wao
  wananchi kujiletea maendeleo haiwezi kuendelea na mingi haina maendeleo. watu wote wanaotegemea serikali iwaletee maendeleo huwa
  wanakufa maskini kwa sababu hakuna serikali yoyote duniani inaweza kuwaletea maendeleo duniani kama wahusika wenyewe hawako tayari kujiletea maendeleo yao wenyewe kwanza . kuna wilaya nchi hii hazina barabara ya lami toka uhuru kwa kuwa wanasubri serikali ije iwawekee lami watu hao hata kama wangekuwa wanachangishana shs.20 kwa mwezi toka uhuru mpaka leo wangekuwa wameshajenga barabara sio za wilaya tu
  bali za mkoa mzima lakini wanaisubiri serikali iliyojaa ubabaishaji iwaletee maendeleo unajua ni mikoa na wilaya ngapi serikali imeaidi kupeleka umeme
  chungu mzima? siri ni moja tu ignore govt. assume ni kama haipo kwamba ni nyie tu na tatizo liko mbele yenu kwamba you either swim or sink au kwa maana nyingine assume hakuna serikali ya kukusaidia kwahiyo utakabiliana na tatizo la mbele yako na ushinde au ugeuke kuwa victim kulia lia
  kila siku serikali haijafanya hili au lile hawafanyi they don't care ngeleja hakai kighoma bali wewe ndio unakaa kighoma kwahiyo the choice is yours to be a victim or victorous. the idea works on individual level pia sio kwa maendeleo ya community tu.
   
Loading...