Ahadi za wazriri wa nishati na madini- ngeleja -2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi za wazriri wa nishati na madini- ngeleja -2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinepi_nepi, Jul 16, 2011.

 1. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  HOTUBA YA NGELEJA
  Katika hotuba yake, Ngeleja alisema mradi wa MW 100 wa Dar es Salaam utakamilika Desemba, mwaka huu, lakini utaanza kuzalisha umeme miezi 18 ambapo serikali itakuwa inajenga bomba kubwa la gesi kutoka Songosongo hadi Ubungo, wa Mwanza MW 60 (Juni 2012), Kinyerezi MW 240, utamilika mwaka 2013/14, Mnazi Bay (MW 300), utakamilika mwaka 2014/15 na Somanga Fungu (MW 230), utakamilika mwaka 2013/14.
  Miradi mingine na mwaka itakayokamilika ni Ruhudji MW 358 (2015/16), Kiwira MW 200 (2013/14), Ngaka MW 400 (2014/15), Mchuchuma MW 600 (2014/15, Stiegler’s Gorge MW 2,100 na Mpanga MW 165 (2015/16) na Rumakali MW 222 utakaokamilika mwaka 2018.
  Waziri Ngeleja aliliomba Bunge kuidhinisha Sh. 402,402,071,000 kwa ajili ya mwaka huu wa fedha
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  No wander kwani huwezi kuinvest umeme overnight. kwahiyo alichoeleza ni sawa tu. Nishati ni kitu kinachohitaji maandalizi na investiments za muda mrefu. Hata haya yanayotokea si makosa yake kwani hili lilipaswa lifanywe kati ya miaka 15-25 iliyopita. Tatizo waTz wanangalia matawi badala ya mizizi na mashina.
   
Loading...