Diwani wa CHADEMA aliyejiuzulu Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CHADEMA aliyejiuzulu Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 16, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wana jf huko mbeya tumepata taarifa ya diwani wa chadema kujiuzulu,
  tunajua jimbo la mbeya limeshikiliwa na chadema,
  tunaombeni taarifa tatizo kubwa lililopelekea huyo jamaa kuachia ngazi,
  au anafata nyayo za gabachori rostam azizi?
  asanteni!
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tumetega masikio kupokea hizo taarifa juu ya huyo diwani,
  kama vipi tufanye mapendekezo ya replacement haraka, mbeya ni kambi yetu ya upinzani bwana, hatutaki mchezo.
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  nimepata mawazo fulani inawezekana linahusiana na haya mambo ya magamba na maandamano?
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hao ni wale madiwani njaa. Anataka ajipendekeze kwa ccm wakija maandamano (matembezi ya hisani)
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  nilihisi kitu kama hicho,mbeya kaeni chonjo na mamluki wa ccm
   
 6. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimewaza hivyo...na nahisi huyu atatambulishwa kwenye mkutano wao leo
   
 7. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni changamoto kwetu cdm, ni lazma tuwe na system ya kuchekecha wagombea wetu hadi kwenye ngazi ya vitongoji, la sivyo tutakuwa tunapata viongoz wetu wenye damu ya magamba, na baadae wana2kimbia.
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni wakati muafaka kwa Chadema kutengeneza wagombea wake, haya mambo ya kunyakua viraka yanatesa, yataitesa sana CDM!
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna haja ya chadema kujisuka upya kuanzio vitongojini
  ccm wanachukua udahifu huu na kuufanyia kazi
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  ni kweli chadema inabidi wawe na kitengo chao cha intelijensia ili kuwachunguza wale wote ambao wanaomba kugombea uongozi kupitia chadema, vinginevyo hao mamluki yanayumbisha chama.
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  siku zote mwanamapinduzi hafaidiki na mapinduzi yake sasa huyu mh. anataka kufaidika na mapinduzi wakati picha ndo lishaanza..

  ni bora magugu kujitenga na ngano mapema..
  viva la cdm!...
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa ndugu, hawa mamluki wanawaharibia chama, alafu niaminivyo mimi hapo mkono wa shitambala umefanya kazi, inabidi wawe makini sana!
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamaa wa magamba washaanza fitna zao.cdm wanahitaji kujitathimini kwa kina na kuwaangalia viongozi wao kwa ukaribu.
   
 14. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Anarudi kwao.
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwenye msafara wa mamba kenge huwakosi.
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Ndio gharama ya demokrasia
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wananchi ndio wenye solution ya hii tabia ya kigeugeu. Watu wamzomee kila kona atakayokatiza for the rest of his life. Unless watu wawe wakali tutaendelea kuwa na tatizo la mamluki lakini wakijua kuwa wananchi watawashughulikia hakuna kiongozi atakayethubutu. Shitambala yuko wapi?

  Inteligensia ya ndani ya chama sawa, lakini wananchi wawashughulikie vigeugeu. Kama huyu Diwani wampe HELL!
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wana jf huko Mby tupeni habari!
   
 19. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Amenunuliwa!
  Ili kuonyesha kuwa wapinzani hawana nia ya mabadiliko bali kujaza matumbo yao! I am sure they gave him good cash!
  CCM bado wanatumia ujanja wa miaka ile! bbada ya hapo wataaenda kuwaambia wananchi kuwa wapinzani hawaeleweki!
   
 20. dizbap

  dizbap Senior Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyo ana MOYO wa MAGAMBA! mwache aende tu...! Wapo vijana wenye nguvu na MOyo na Chama chetu KITUKUFU.
   
Loading...