Mkono aja juu kuhusu Meremeta

BABA JUNJO

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
241
14
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini pale Buhare ndio wana wakabidhi kwa serikali na wamechakachua kila kitu hakuna hat meza na viti!! Hii serikali ni ya nani jamani? Sisi hatufanani na wale mababu ( machifu) waliokuwa wana pewa shanga na mashuka kisha wanawauza watu wao kwa wazungu? Hivi vizazi vijavyo watajivunia uwepo wetu kweli? HAWATAAMINI historia ama itakuwa Historia ya vichekesho kwao? INAUMA SANA.
 
kama kaongea hivyo natabiri bajeti ijayo ccm itaanguka vibaya maana baada ya wabunge kuona walichotete na reaction ya wananchi hawatarudia ujinga wao
 
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini pale Buhare ndio wana wakabidhi kwa serikali na wamechakachua kila kitu hakuna hat meza na viti!! Hii serikali ni ya nani jamani? Sisi hatufanani na wale mababu ( machifu) waliokuwa wana pewa shanga na mashuka kisha wanawauza watu wao kwa wazungu? Hivi vizazi vijavyo watajivunia uwepo wetu kweli? HAWATAAMINI historia ama itakuwa Historia ya vichekesho kwao? INAUMA SANA.
 
He had the nerve....given the billions he's enjoying from his representation to TANESCO on IPTL and richmond cases, he has been paid a staggering 18bn and TANESCO is yet to win a case!
 
Nasoikia mkataba wa iptl, tanesco wanatakiwa kuwanunulia iptl mafuta,iptl wanawauzia tanesco umeme kwa dollar 38 kwa unit, tanesco wanawauzi watumiaji kwa dollar 5 kwa unit moja...... Hayo ndio makubaliano ya wasomi wa ccm leo katika ulimwengu huuu
 
Ujinga wetu ndio huu, hata Lowasa kesho alituhadaa kwa kuongea kwa machungu tutampigia makofi na kumshangilia kuwa ni kichwa!
 
Mkono he is among the few remains in ccm as misfortune! The guy has the guts to speak for anything I think its because of the billions he is having
 
=Mr.Professional;2233670]Mkono he is among the few remains in ccm as misfortune! The guy has the guts to speak for anything I think its because of the billions he is having

He got from us.
nadhani wizi umemcho sasa au anawadharu viranja wa nchi
 
hiyo ndo asili yetu sisi wanaMara, haki kwanza hayo mengine baadae, unafiki mwiko na dhuluma inatutia kichefuchefu. Mungu Ibariki Mara, Mungu ibariki Musoma.
 
Sasa huku tunakoelekea siko,mtu akimsifia mbunge fula kwa kuchapa kazi bungeni jitu linaingiza maswala ya ukabila eti sisi wana mara,upumbavu huu hamuwezi kuchangia bila kuweka ukabila?majitu ya magamba yananiuzi sana
 
Kazi ipo, yy kama mwanasheria wa hio mikataba leo anaikana.
Mbona hakumsaport silaa wakati anapambana na Sita kuhusu hilo suala bungeni for the past 10 year
amerushwa labda ahadi JK amemalizia zote kwenye kampeni.
 
Back
Top Bottom