Tathmini yanga juu ya Sitta na uongozi shughuri za serikali bungeni

Magarinza

Senior Member
May 9, 2008
122
13
Kwa takribani wiki moja hivi ndugu Sitta alikaimishwa kuongoza shughuri za serikali bungeni. Kwa tuliofatilia bunge tulimwona jinsi utendaji wake ulivyokuwa na hii ni tathmini kwa mtazamo wangu:
i.... Huu ulikuwa ni ujumbe kwa watanzania na dunia kuwa sasa JK kaamua kuachana na kuwategemea maswahiba (RACHEL) wake kuongoza
serikali.
ii... Uongozi wa Sitta ulikuwa wa kijinga sana kuliko wa mtoto wa mkulima kwani alionekana mala nyingi akiinuka inuka kuitetea serikali katika
madudu ya wazi inayoyafanya. Pinda pia huitetea serikali yake katika madudu ila huwa hainuki inuki kuongea kama huyu Sitta alivyokuwa
anafanya.
iii.. Sitta kaonekana ni mnafiki sana na hatari kuliko wengi tunavyo mchukulia, kwani kaitetea sana serikali katika mambo ambayo ni ya aibu sana.
iv..Sitta pia kaonekana uwezo wake kuongoza kwa kutumia akili ni mdogo sana kuliko Pinda na hata Lowasa ukizingatia Sitta kaitumikia serikali
ya CCM tangu enzi ya Nyerere katika nafasi za juu kuliko Pinda na hata Lowasa.
v..Sitta kajidhihirisha kuwa mtu wa dharau sana hasa pale alipotoa kauli za kuidharau Zanzibar uwezo wake wa kiuchumi bila kizingatia kuwa ni hii
serikali ya CCM (aliyokuwa anaiongoza bungeni) ndiyo iliyoifukarisha Zanzibar na kuifanya kuwa tegemezi kwa serikali ya muungano feki.

Unaweza ongeza tathmini hii kadri uonavyo... heading pale ni yangu badala ya yanga tafadhali...!!!
 
Namba 5,sikua najua kuwa umaskini wa zanzibar ni sababu ya BARA,wakat mimi naamin umaskin wa TANZANIA NI KWA SABABU YA WATAWALA WABOVU,,,,,,,,,hapo natofautiana nawe kiduuuchu
 
Back
Top Bottom