Naomba mawazo yenu juu ya mada hii! Ninamaanisha nani angetoa maamuzi magumu kati ya lOWASA VS MTOTO WA MKULIMA (PINDA)
Kwa mtazamo wangu Lowasa angemtimua mbele ya bunge then waje wamalizane na...
Nashindwa kuelewa Pinda anaposema eti Hadi Mkwe.le arud ndo ataamua nini cha kumfanya Jairo.
My Concern:
Hiv nini Kazi ya Dr. Bilal pale Mkwel.e anapokuwa Nje Kutalii na kuhudhuria Vipa Imara...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) na Mbunge wa Viti Maalumu, Mary Chatanda (CCM) jana walilumbana bungeni kuhusu mauaji yaliyotokea mkoani Arusha, huku Lema akimtuhumu mwenzake...
Hii ni homerowk unaweza kufanya kama classwork
Tanzania ina wizara ngapi?
Kila wizara ina wastani wa Idara ngapi. Watsani?
Kila idara ya wizara x ya serikali ikichangia milioni 50...
wakuu, nimeletewa hii kitu hebu isomeni kwa makini na haswa kuhusu maneno yaliyotumiwa na hawa viongozi halafu fanya tafakuri ya kina nini kinaendelea ndani ya CCM na taifa kwa ujumla , pia hili...
Hali hii ya mgawo wa umeme sasa ni tata sana. Watu wanalalamikia hali hii. Tujuavyo sisi wa TZ ni watu tunaoongozwa na matukio. Tukio linakuja linaisha hakuna kinachoendelea katika eneo la...
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu...
Wenzetu Waliochoka na unyanyasaji. Utulivu siyo Amani.........Kikwete Ujumbe ni wako, you are next
http://youtu.be/n81cs8VHd1I
http://youtu.be/BiWd8NjhsHo
India is trying to be China and it is not ! they thinks that a few nice words from America make it a real player on the world stage but the reality is that it has to sort out its own extreme...
Wadau hivi sasa PM anaulizwa maswali lakini hataki kupokea ushauri wa kiongozi wa upinzani bungeni kuhusu umeme na kasema upinzani wasubili serikali iendelee na utaratibu wake wa kuwapatia umeme...
spika anadai anasubiri barua kutoka kwa chama ili aweze kutambua kujiuzulu kwa Rostam na kwamba
barua ya rostam pekee haitoshi kutangaza kuthibitisha kujiuzuru kwake. lakini kwenye miaka ya 90...
British firm urged to pay Tanzania Sh4.2bn
British MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m (TSh73.8billion, Ksh4.2bn) in full and immediately or face legal...
Any foreign investment policy must attach three strings that a foreign investor should bring to Tanzania and these are;
it must boost the economy of the country and that of the local community of...
...angalia walichoanza kukifanya jana! \usipochukua hatua sahihi SASA utakuja kuabika na utajuta hata kuwa rais wa nchi hii.
UNAWEZA KUWADANGANYA BAADHI YA WATU MUDA WOTE, LAKINI HUWEZI...
NDUGU ZANGU,
HILI SUALA MNALIONAJE MAANA NAONA SASA LOBBYING INACHUKUA PICHA TOFAUTI KABISA KATIKA NCHI YETU. GHAFLA INAYO ANDALIWA NA VODACOM KUHUDHURIWA NA WAZIRI MKUU...
Nimekuja kuona na kutafakari kwa kina sana kuhusiana na wabunge wetu wooote pale bungeni kumbe ni watoto wa mjini, nasema ni watoto wa mjini nikiwa na maana ni watu ambao wameishi mijini na...
Watanzania tumegubikwa na tamaduni ya kukurupuka na kuendeshwa na matukio siku zote, rais ambaye ni mtulivu ambaye anajua kupanga ni kuchagua huwa asilani hana papara rais amekuwa akitumia muda...
Kumbe tatizo la Mtera tulijitakia wenyewe.
SOma kwa makini taarifa ya engineer huu anayesema kuwa watanzania hatutaki kuisoma master plan ya bwawa la Mtera.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.