Wizara ya mambo ya ndani mambo magumu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya mambo ya ndani mambo magumu..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jul 20, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...

  Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kweli

  naomba kutoa hoja..
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni kweli imefirisika hata mkulo analifahamu hilo.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama ni mgonjwa yuko ICU
   
 4. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamani nchi haina kitu hii wamekalia kutoa misamaha ya kodi tu.
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Usijali Mkuu! Wanaendelea kutajana...! Mwisho wataturejeshea li nchi letu tuhangaike nalo.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tuwasubiri?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuna askari hapa ananiambia hata printer hazina cartridge hivyo hata kuprint hawaprinti labda doc mhimu sana...
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kuna uwezekano wa watuhumiwa hao kufungua kesi kuishitaki serikali kwa kuwanyima haki ya kusikilizwa kwa uzembe wa serikali ?
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  si alimwambia Zitto anatafuta umarufu akiimanisha hawajafirisika
   
 10. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nchi ishauzwa hii, tujiandae kwa mapambano ya ukombozi wa nchi yetu.
  Mungu ibariki Tanzania
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Haki!? unazungumzia nchi hii...hapo tutapigwa blah blah na kamwe hawatakubari kuwa gari la kubebea wafungwa halikuwa na mafuta...
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  na Mgao ndiyo sanda...
   
 13. k

  kibajaj Senior Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina wasiwasi na utawala huu kama utamaliza miaka minne iliyobaki
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Pumbaaa
   
 15. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa, kuna chuo kikuu kimoja cha serikali, lecturer hawezi kupata hata karatasi (plain paper) ili aandae notes za masomo yake, ukienda kuprint kazi ikizidi karatasi 15 unaambiwa njoo na karatasi zako. Na ukiprint unaambiwa wakuprintie pande zote (kugeuza karatasi). Jamani tumekwisha!!!!!!!
   
 16. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bora hizi pumba kuliko wewe unayeleta kinyesi
   
 17. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wee Foiza foxy (fox) inaonekana umetumwa na magamba, siku yenu inakuja. Wakati wtanzania wanateseka wewe unaponda tuuuu, nimeangalia sana thread zako hakuna jipya unaloleta badala ya kutafuta suluhu ya matatizo ya watanzania kazi kulamba viatu vya magamba tuu
   
 18. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  nagonga meza
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Achana na cartridge, karatasi nazo ni mgogoro!
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sio kifedha tu hadi kimipango na utimizaji wake...
   
Loading...