Hatimae chenji ya rada yapatikana

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
21,771
39,552
[h=1]British firm urged to pay Tanzania Sh4.2bn[/h]
British MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m (TSh73.8billion, Ksh4.2bn) in full and immediately – or face legal action.

BAE, a British defence company, agreed 16 months ago to pay the sum as part of a settlement with the Serious Fraud Office (SFO).

Reacting to the new developments, the Deputy Speaker of the National Assembly, Mr Job Ndugai, said on Wednesday Tanzania has welcomed the decision reached by British MPs.

The Kongwa legislator (CCM) said: “We have been overjoyed to receive such news.”

He said the governments of Tanzania and Britain have agreed that the money will be deposited in a Treasury account to be under the charge of the Parliament.

Last month a parliamentary team headed by Mr Ndugai travelled to Britain to present the government’s stand, which was that the money should be paid directly to it instead of through charity organisations as preferred by BAE Systems.

In its report, the team advised the government to pursue legal measures against all parties or individuals implicated in BAE System’s fraudulent sale of radar to Tanzania.

Former Attorney General Andrew Chenge, who resigned from the Cabinet in 2008 over the scandal, is among Tanzanians named in the scandal.

However, the Minister of State in the President office responsible for Good Governance, Mr Mathias Chikawe, ruled out the possibility of prosecuting Mr Chenge on the grounds that he was cleared by Britain’s SFO, which had investigated the matter.

The minister said the investigations only implicated Mr Sailesh Vithlan, who was the broker in the deal
Daily Nation: - Africa |British firm urged to pay Tanzania Sh4.2bn
 
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa
kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia
nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha
wananchi wa kada zote wanaonyesha
kutofurahia serikali iliyopo madarakani.
Ugumu wa maisha na kushamiri kwa
rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa
kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na
propaganda lakini ni wazi watetezi wa
serikali ya Magamba huwa hawana hoja,
nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi
zinazoongozwa na watanzania kote huko
serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa
na watetezi wa mafisadi lakini ninaona
kabisa wimbi hili litatufikisha mahali
pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko
hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua
ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu
hakuna tofauti na anachofanya Jairos
bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana
na mgawo wa umeme. Lakini
kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii
ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua
hata zile theories of economic
development tunaona inflation
inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu
wanaambiwa wachakachue takwimu ili
waziri aweze ongea kile ambacho serikali
inapenda kukisikia.
You cant change the wind of
changes .......aluta continua pamoja
tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa
mafisadi hawa.
 
Wapiganaji inabidi tuzifuatilie matumizi yake Plz makamanda wetu BUNGENI komalieni isije kutokea EPA nyingine
Coz hata piza zilizorudicha na vifisadi hatujafahamu zimetumika vip? watu wa treasury please fujulisheni siri fast mkiona
check ya kijingajinga inatolewa
NGUVU YA UMMA imeshinda gooooooooooooooood
 
Wapiganaji inabidi tuzifuatilie matumizi yake Plz makamanda wetu BUNGENI komalieni isije kutokea EPA nyingine
Coz hata piza zilizorudicha na vifisadi hatujafahamu zimetumika vip? watu wa treasury please fujulisheni siri fast mkiona
check ya kijingajinga inatolewa
NGUVU YA UMMA imeshinda gooooooooooooooood

  • Bunge lenyewe ndio hilo . umeskikia kupitisha bajeti wanapewa kitu kidogo
  • Wabunge wenyewe ndio hivyo wana mifuo iko ya jimbo iko chini yao. Sijawai kuona kwenye gazeti mbunge akitoa ukuusa pesa za jimbo lake zimetumika vipi? Si wa magamba si CDM wala CUF au NCCR.
Nchi nyingine watu wanakosa iani na wanasiasa lakini wana kuwa na Imani na ma majeshi lakini kwa tanzania na Jeshi letu ni part ya siasa.

Kazi tunayo
 
Back
Top Bottom