JK: Hata wamalawi pia walikuwa wapole kama kondoo....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...angalia walichoanza kukifanya jana! \usipochukua hatua sahihi SASA utakuja kuabika na utajuta hata kuwa rais wa nchi hii.

UNAWEZA KUWADANGANYA BAADHI YA WATU MUDA WOTE, LAKINI HUWEZI KUWADANGANYA WATU WOTE SIKU ZOTE!

Kama una masikio basi yatumie kusikia.
 
kwa jinsi anavyoongea na kushindwa kuwanunua wabunge wa ccm kupitisha bajeti ya ngereja
inaonyesha wazi sasa hana nguvu na wale marafiki zake RACHEL hatawamiss sana
 
  • A protester throws back a teargas canister fired by police during an anti government …
  • Anti government protesters demonstrate in Lilongwe on July 20. Riot police deployed …

Riot police deployed in Malawi's cities and shops closed their shutters Thursday for fear of a flare-up of protests which have already prompted international condemnation, including from Madonna.
At least one person was shot dead on Wednesday when police broke up nationwide protests against President Bingu wa Mutharika, accused by rivals of mismanaging the economy and trampling on democratic freedoms.
Shops closed and many workers headed home early Thursday as protesters moved through Lilongwe's old town, looting stores as they went, said Mike Chipalasa, spokesman of the state-funded Malawi Human Rights Commission.
"Many workers here in the capital city are returning home for safety and vehicles speeding away as demonstrators are gearing to cause violence," he told AFP, saying that the protesters had "started marching, blocking roads and threatening others".
In the commercial hub Blantyre, banks and shops closed for fear of new marches and looting, as riot police fanned through the satellite shopping town of Limbe.
"Most of these people are thugs who want to loot shops in the name of demonstrations," said Richard Nyimbo, a Blantyre resident.
Police waged running battles with activists on Wednesday in Blantyre, Lilongwe and the northern town of Mzuzu, where live ammunition was used to break up the protests, leaving one dead and six injured, according to a hospital official.
Police said they were still compiling a report on the violence in Mzuzu and would only say that "probably one died".
Shops were looted while homes and vehicles set ablaze Wednesday, as police fired teargas and beat back crowds with rifle butts.
Several activists and journalists were beaten and briefly arrested. Amnesty international said police had fired teargas into Lilongwe's hospital, forcing it to shut down.
"While police must take all necessary steps to protect the right to life, firing tear gas into a hospital, affecting patients unable to flee from the gas, is unacceptable," said Erwin van der Borght, the organisation's director for Africa.
"Where people are killed or seriously injured as a result of police action, the authorities must ensure there is a prompt, independent and thorough investigation," he said.
The violence was also condemned by American pop star Madonna who adopted two Malawian children and runs charities here.
"I am deeply concerned about the violence today in Malawi, especially the devastating impact on Malawi's children," said Madonna in a statement.
"Malawi must find a peaceful solution to these problems that allows donors to have confidence that their money will be used efficiently," she said.
Britain last week became the latest donor to cut aid to Malawi over concerns about economic management and Mutharika's moves to rein in the media, restrict lawsuits against the government, and restrain protests.
Malawi, one of the world's poorest countries, has suffered crippling fuel shortages since June as the government has run low on foreign currency to pay for imports, stoking public discontent.
 
Usilinganishe hali ya maisha ya Malawi na hapa kwetu. Takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi kule wanaishi chini ya dola moja kwa siku, hospitali chache, shule hazina vitabu na kuna chuo kikuu kimoja tu. Tofauti na huku kwetu ambapo hali ya maisha ni nzuri. Kigezo kimoja ni ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ambacho ni mfano kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki. Kwa hiyo maandamano hapa ni ndoto za mchana.
 
Juzi kulikuwa na maandamano makubwa Malawi ya kuupinga utawala wa Rais BINGU. Baada ya kusoma article moja kwenye mtandao uitwao (faceofmalawi.com) naona kuna mambo yanayofanana fanana na ya hapa kwetu. Hebu soma hii halafu utoe maoni yako...

Aggravating factors to the violent demonstrations in Malawi: Every peace loving Malawian knows that the first culprit to blame for the violent demonstrations on 20[SUP]th[/SUP] July is Bingu himself. This is due to his arrogance and disrespect to anybody except members of his family......
With his henchmen surrounding him, he never listened to any body except his God chosen tribe. He became insensitive to the needs of other Malawians. What Bingu forgot was that an elected leader governs on trust. Once that trust declines, the mandate to govern is lost. That is exactly what has happened to Bingu. He has lost the legitimacy to govern the citizens of Malawi. He is now a liability.

Hapa unamaanisha rais yupi? Kama ni rais wa malawi waombe Mods waamishe thread jukwaa la kimataifa.
 
Tumewaongezea mishahara wanajeshi, Tunaimarisha utengenezaji wa zana za kivita kule Mzinga, IGP ni mtii sana kwa raisi wake, Nimemleta Nahodha mambo ya ndani makusudi, sasa igeni ya wenzenu muone. TANZANIA NCHI YA AMANI
 
Usilinganishe hali ya maisha ya Malawi na hapa kwetu. Takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi kule wanaishi chini ya dola moja kwa siku, hospitali chache, shule hazina vitabu na kuna chuo kikuu kimoja tu. Tofauti na huku kwetu ambapo hali ya maisha ni nzuri. Kigezo kimoja ni ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ambacho ni mfano kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki. Kwa hiyo maandamano hapa ni ndoto za mchana.
kaka ni muda tu subiri utaona nini kilichojifisha ndani. wala malawi sio masikini ni ujinga wa viongozi wengi wa africa
 
Tumewaongezea mishahara wanajeshi, Tunaimarisha utengenezaji wa zana za kivita kule Mzinga, IGP ni mtii sana kwa raisi wake, Nimemleta Nahodha mambo ya ndani makusudi, sasa igeni ya wenzenu muone. TANZANIA NCHI YA AMANI
mzinga hakuna kitu ni magofu tu wala huwezi kuua watu hata zaidi ya 50 kwa siraha za mzinga kwa hiyo idadi iliyobaki itakuwa juu yenu na mtaikimbia nchi. IGP hata akiwa mtii watatokea wengine kwa ananini hanakitu kunawanajeshi wanaoijua nchi wala sio yeye.
 
Usilinganishe hali ya maisha ya Malawi na hapa kwetu. Takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi kule wanaishi chini ya dola moja kwa siku, hospitali chache, shule hazina vitabu na kuna chuo kikuu kimoja tu. Tofauti na huku kwetu ambapo hali ya maisha ni nzuri. Kigezo kimoja ni ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ambacho ni mfano kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki. Kwa hiyo maandamano hapa ni ndoto za mchana.

...basi ntajitahidi kujifunza definition mpya ya hali mbaya ya kimaisha..
 
Kwa hulka, wamalawi ni wapole, wanyenyekevu, wakarimu, wanaadabu sijui mara ngapi kuliko watz. Ujanja na uwizi tumewafundisha watz hivi karbuni tunapoingiliana nao kibiashara.
 
Usilinganishe hali ya maisha ya Malawi na hapa kwetu. Takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi kule wanaishi chini ya dola moja kwa siku, hospitali chache, shule hazina vitabu na kuna chuo kikuu kimoja tu. Tofauti na huku kwetu ambapo hali ya maisha ni nzuri. Kigezo kimoja ni ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ambacho ni mfano kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki. Kwa hiyo maandamano hapa ni ndoto za mchana.

Kwa Ghadafi je?? WaLibya walikuwa wanaishi chini ya doal moja kwa siku?? Acha ukilaza wako bana!!
 
Population ya malawi unaijua? na unamaanisha watanzania wote wanaishi juu ya dola moja? you are too blind, tembea nchi hii uone vijijini hali ilivyo, pengine bora hata huko malawi.
 
Nchi ya kitu kidogo kwa kila jambo, liwe dogo ama kubwa kitu kidogo mbele, inaonyesha tusivojiamini na kutojari. Ndo maana kwa kujidanganya mtu anapuuzia kila kitu hata kama kina umuhimu mkubwa kiasi cha kuonekana na wengi. C anajua kwamba ni watu wa kulalamika tu na baadae wanahongwa na wengiine kudanganywa na maneno ya uongo na blabla za kila mara. TUMECHOKA!!? Hao wamalawi ni kweli walishakuwa vizuri kutuzidi,kama sio sisi kuwapanua macho! Sembuse waTZ! Siku watakapoamua sijui ila tuombe Mungu yasitokee hayo. Humu jamvini wakunusa nusa wapo ujumbe utafika tena na nyongezaaaaa.ila kama kawaida utapuuza tu.
 
Wimbi la change sasa limeanza Africa South of Sahara...good sign, watu wamechoka kuahidiwa hewa na kuteseka kwa sababu ya uongozi mbovu. Malawi indeed was a shocker kwa maana walionekana wapole....this should speak volumes for our leaders....hayawi hayawi...
 
Back
Top Bottom