Je angekuwa lowasa angetoa maamuzi gani juu ya issue ya jairo mara baada ya kuisikia live bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je angekuwa lowasa angetoa maamuzi gani juu ya issue ya jairo mara baada ya kuisikia live bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rumishaeli, Jul 21, 2011.

 1. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Naomba mawazo yenu juu ya mada hii! Ninamaanisha nani angetoa maamuzi magumu kati ya lOWASA VS MTOTO WA MKULIMA (PINDA)
  Kwa mtazamo wangu Lowasa angemtimua mbele ya bunge then waje wamalizane na JK (maamuzi magumu) ila Pinda yy sikuzote hatoi sulihisho la issue anazicha zikiwa na maswali ( hana maamuzi)
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  "The graceful giraffe cannot become a monkey!" Song of Lawino, By Okot b'ptek!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lowassa Jembe wewe ukiacha karama za ufisadi jamaa mtendaji! Ulizia MaDC alipokuwa PM
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Fisadi ni fisadi tu Rev Masa, huu ukali ni cover up!
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu lowasa sio kwanza sio mwanasheria na ili hapendi uzingatia sheria na utaratibu sheri anakurupuka mambo mengi.

  rganisation structure ya Seriali haimuwezshi PM kumfuta kazi Waziri au katibu mkuu. moja kwa moja.

  Huwezi kumfukuza kazi mtu amabye hujamteua wala kumuajiri wewe.

  Unakumbuka kuna waziri fulani miaka ya nyuma kama sikosei Dialo alitaka umuhamisha kazi mkurugenzi wa kitengi fulani wizara ya mazingira. kwa sabbu ya kashfa.

  Yule mkurugenzi alimwambia mamlaka ya kunihamisha hapan ni ya rais aliyeniweka.

  Hata kama mtu kakosea bado kufuata utartibu ni muhimu. Otheriwse ndio mambo kama ya richmon d.

  Mchungaji unajua kuna DC mmoja alimtoa nishai Lowasa sabbu ya kupenda sifa za kutofuata utaratibu? uzuri yule DC alimtoa nishai ne ya camera na vyomb vya habari. Nadhani Lowasa hawezi kumsahau huyo DC.
   
 6. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Wakati gogoro ama likashfa la EPA na KAGODA linaibukia bungeni, Mhe Dkt Lowassa alikuwa Waziri Mkuu. Kwa hivyo kama alivyolitolea 'maamuzi magumu' kashafa la EPA ndivyo ambavyo angelitolea 'maamuzi magumu' suala la Dkt Jairo. Tatizo letu Wabongo ambalo ndilo mafisadi wanalitumia kuendelea kufisadi nchi ni kwamba huwa hatukumbuki yaliyotokea jana!! Tunaagalia ya leo tu. Mlo wa leo tu. Si ya jana wala ya kesho. Ndipo mafisadi walipotufikisha.
   
 7. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mambo yote hapa ni katiba mpya, mtu atawajibishwa na katiba siyo rais wala nani, maana bila katiba nzuri kama kila kitu lazima aamue Rais, je pale ambapo Rais amekosea nani wa kumwajibisha???? jibu ni KATIBA.
   
 8. a

  arigold JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  wishful thinking
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Baada ya Moringe,Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu.
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Nasikia Lowassa haachii hata elfu tano, hivyo Jairo angekuwa amekwisha mpa deal na angekuwa mkali kiasi kwamba Beatrice asingesema kitu au naye kulambishwa asali na bajeti kupita kiulaini. Hivi mnakumba wakati jamaa kajiuzulu Anne Kilango alivyosema kuwa alikuwa anachukia kuandikiwa barua kulazimishwa kukaa kimya kwenye issues zinazohusu serikali?
   
 11. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kinachoonekana hapa hakuna kuaminiana kati ya Pinda na Rais wake...Kwa vile Pinda lilishamkera na kutamka hadharani..angem'fire'..wakati huohuo akiendelea kuwasiliana na bosi wake...haya mengine sijui ya mamalaka ya uteuzi ni kiinimacho tu...vyovyote hata angekuwa Lowasa bado angesubiriwa huyo JK...
   
 12. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa wakati mwingine nakuwa na wasiwasi kama katiba mpya italeta mabadiliko tunayo yataka; kwani hata hii ya sasa pamoja na ubovu wake na vilaka kibao haifuatwi na hatua hazichukuliwi. Mfano wabunge wanamamlaka ya kumwondoa Rais anapokosa uhalali wa kuongoza nchi lakini hawafanyi hivyo; je wamekwisha kuwa 'Jairoed'?
   
 13. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hivi mbona Pinda asiseme tutakaa kama serikali Tufanye maamuzi!! Eti nasubiri kuwasiliana na Rais wangu.
   
 14. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kinachonikera ni kwanini January na wenzake hawakwenda polisi?
   
 15. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi nani fisadi kati ya jk na Lowassa?? Lowassa kafunika kombe tu....vinginevyo angeyumbisha serikali endapo angeamua kumwaga ugali.
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kumkweza na kumpa sifa asiyo kuwa nayo. Kwa kujua kwamba suala hili klinahusiana na ufisadi na huyu ni fisadi mwenzie angemfumbia macho. Na kama angechukua hatua basi tungethibitisha mashaka tuliyonayo juu ya uwezo wake wa uongozi maana sifa ya kiongozi ni pamoja na kujua madaraka yake, mipaka yake na kuheshimu mamlaka za uteuzi na kujua kwamba hizo ndizo zenye mamlaka ya kuwajibisha.

  Pinda siyo maamuma wa misingi ya kisheria na ya kiuongozi na ndiyo maana aliamua kuwa mkweli, kama ilivyo kawaida yake na siyo kutafuta misifa ya kijinga.
   
Loading...