Kumbe Wabunge Wote Pale Bungeni Ni Watoto Wa Mjini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Wabunge Wote Pale Bungeni Ni Watoto Wa Mjini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jul 21, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Nimekuja kuona na kutafakari kwa kina sana kuhusiana na wabunge wetu wooote pale bungeni kumbe ni watoto wa mjini, nasema ni watoto wa mjini nikiwa na maana ni watu ambao wameishi mijini na biashara zao zote ziko mijini na sio vijijini. ukifika wakati wa uchaguzi ndio utawaona waheshimiwa hawa wakienda vijijini kuomba kura na kutoa ahadi lukuki kwa wanavijiji hao kuwa watawaletea maendeleo.

  Sasa nini ushauri wangu kwa waheshimiwa viongozi wa vyama vya siasa kuhusu kumkomboa mwanakijiji huyu ili aondokena na umasikini uliokidhiri, ni kwamba ni kwanini wabunge wa viti maalumu woote kwanini wasitoke vijijini kwakua wao ndio wenye kuelewa maisha ya huko vijijini kuliko kuteua wabunge wa viti maalum wote kutoka mjini? huu nimtazamo wangu tu kwakua wabunge wote pale mjengoni ni watoto wa mjini hapa ni mtazamo wangu tu. Nawasilisha.
   
 2. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Uko sawa
   
Loading...