India woos Africa with $5 billion loan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

India woos Africa with $5 billion loan

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, May 27, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  India is trying to be China and it is not ! they thinks that a few nice words from America make it a real player on the world stage but the reality is that it has to sort out its own extreme poverty!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  At the same time India wanapata misaada mingi tu toka UK! How bizarre?
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahaha wapo mbele kwenye maswala ya tech. kushinda nchi nyingi za afrika na hilo linawafanya wawe juu
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Tusisahau ya US na Katrina.
  Lakini Africa ni shamba la kila mwenye ujanja sio US na West pekee. Sisi miafrika ndio tumelala.
  Lakini India anatafuta ugomvi na West na US.
  Tunaona propaganda za West na US juu ya China kuingia Afrika.

  Anapoingia China na India Afrika basi utarajie vita ambavyo vina lengo la kuzifurusha zisijishamirishe katika kukumba rasilimali za wenyewe West na US.

  Lakini US si inadaiwa na China mahela mengi tu? Na kwenyewe China kwa wananchi wa kawaida bado wapo maskini wengi.
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Angalieni unafiki wa West hapa. Afrika, Latin Amerika na Asia ni shamba lao lakini akitokea China au India kufanya kama wao wanavyofanya kwa nchi zilizo hizo sehemu nilizozitaja mwanzo West na US huanza kupiga kelele.

  During Chinese premier Wen Jiabao's visit to three European countries last month, reports emerged that Beijing has shown keen interest in buying a stake in the EU's euro bail-out fund. China's largesse towards Europe has prompted the European Council on Foreign Relations, an influential think tank, to warn that China's "scramble for Europe is damaging the EU's interests", threatening to compromise EU values in return for investments.

  Not dollar, not euro, but gold - Features - Al Jazeera English
   
Loading...