PM pinda akataa kwa mara nyingine ushauri wa kambi ya upinzani bungeni kuhusu umeme nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PM pinda akataa kwa mara nyingine ushauri wa kambi ya upinzani bungeni kuhusu umeme nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mosachaoghoko, Jul 21, 2011.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau hivi sasa PM anaulizwa maswali lakini hataki kupokea ushauri wa kiongozi wa upinzani bungeni kuhusu umeme na kasema upinzani wasubili serikali iendelee na utaratibu wake wa kuwapatia umeme watanzania kazi kweli ipo kwnye nchi hii
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Atakubalije ushauri mfu ambao upo zaidi kwa maslahi yakutafuta umaarufu wa kisiasa. Hapo mjue wapinzani hamuaminiki na mawazo yenu
   
 3. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utaratibu uleule wa kuhonga wanamagamba ili bajeti ipitishwe serikali fisadi itawapatia umeme kutoka wapi
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mi nakubaliana na pinda, mbowe anapendekeza kuundwa kwa kikosi kazi kushughulikia umeme na anuliza swali hili kila siku lakini hajawahi kueleza ni namna gani kiosi kazi hicho kitasaidia tatizo au tunatengeneza bureaucracy mpya na tatizo likabaki pale pale, narudia kusema mbowe hana uwezo wa kujenga hoja kimkakati, task force task force kila siku tumechoka, yupo kwenye chupa
   
 5. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nashukuru umesema ukweli, mimi naamini siku zote kuwa mbowe hamna kitu pale upstairs bali ni mhamasishaji tu.
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huyo ni mnafiki sana hana jipya ndio marehemu ndani ya sanda wanasubiri kuzikwa hawezi kuwa namawazo mapya maana akili zao zimekalilishwa kubisha hata jambo ni nzuri basi lazima ubishane ili aonekane ametoa point bila kujua madhara yake kwataifa.
   
 8. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Na mimi naungana naye Pinda. Ila wewe uliyeko hapo karibu yake niulizie ni lini wanatupatia huo umeme? au ndio huu huu wa kuwashwa na kuzimwa?
   
 9. k

  kiloni JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wafu hawawezi kupokea ushauri wowote. CCM ni maiti inayonuka sasa dunia nzima. Mheshimiwa mbowe unakosea Bunge lako liko huku kwenye UMMA leta mawazo tuyafanyie kazi achana na hizo maiti.
   
 10. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bila shaka pinda anamsubiri vasco da gama the explorer ambaye yupo kwenye expedition ya kuvumbu cape of good hope.
   
 11. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Amin,amin, nawaambia, saa inakuja,na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai.Msi...staajabie mambo hayo; kwa maana saa inakuja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka; wale waliofanyamema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu. (somaYohana 5:25, 28-29).
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  okey basi kama umeshindwa kufanya jambo then unapewa ushauri unakataa basi jitihada ulizochukua zinatakiwa zifanikiwe.
  Kukosea mara ya kwanza ina maanisha mawazo yako mfu that y umeshindwa kufanikisha. Kwani Malawi na Tz ni mbali sana?????
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,163
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  Selikaki ina mipango mizuri sana kwenye makaratasi, ukija kwenye utendaji ni sufuri kabisa!
   
 14. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Kwa issue ya umeme wapinzani ni akina nani kama siyo serikali ya CCM?
   
 15. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nakataa! Haina mipango yoyote mizuri. Ni ubabaishaji tu, ukia na mipango mizuri huwezi kuaandaa pesa za kwenda kutoa rushwa ili bajeti yako ipite. Hawa jamaa wameshindwa kazi!
   
 16. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Watanzania tumegubikwa na tamaduni ya kukurupuka na kuendeshwa na matukio siku zote, rais ambaye ni mtulivu ambaye anajua kupanga ni kuchagua huwa asilani hana papara rais amekuwa akitumia muda mwingi kusafiri huku na huko kutafuta ni jinsi gani ataweza kusaidia changamoto zinazowakabili watu wake. Tusiwe tunafikiri kwa kutumia ubongo na sio ufahamu kama vile tunavyo wakshifu wengine kuwa wanatumia matumbo kufikiri tukiwa tuna maanisha wanafikiri kwa njaa.

  Rais Kikwete ameonekana akiwa bega kwa bega na watu wake katika mambo mbalimbali yanayokabili hali ya maisha ya kila siku, alikuwepo mkapa shutuma nyingi zilielekezwa juu yake ni mbabe, sio msikivu, dictator nakadhalika lakini leo hii wale watu hao kwa fikra zilezile wanadiriki kumkashifu muheshimiwa rais kwa tuhuma nzito na kubwa kabisa lakini tunajua agenda zao, wanatumiwa na uma wa wezi na wenye uchu wa madaraka.

  Tanzania ni kisiwa cha Amani na Utulivu, kama unabisha leo hii njoo burundi uone nini kinachoendelea, Asilani tutalinda amani na utulivu wa nchi hii kwa nguvu hata kwa tone la mwisho la damu kama itatupasa kufanya hivyo.

  Tumekuwa wepesi wa kulaumu na kuendeshwa na matukio haya swala la UMEME, je unafikiri kama raisi akitatua tatizo la umeme matatizo mengine yatakuwa yameeisha kwa mfano, vifo vya kinamama na watoto, elimu, maji, masoko ya biashara kwa wakulima wetu, ajira kwa watu wetu tunakurupuka kwa mihemuko ya kisiasa.

  Fikra sahihi huja pale mwanadamu, anapotumia na kufikiri nnje ya boksi kwa kuangalia na mbinu nyingine mbadala ambazo zinaweza zikasaidia kutatua matatizo.

  Raisi hafurahi kuona kuwa nchi inakuwa gizani, huitaji kuwa na degree ya chuo kikuu kudadaviua hili, la hasha hali ya uchumi wetu ndio inayosababisha yote haya yanayojitokeza kwa sasa. Rais amekuwa akitumia muda mwingi kutumia Muda wake kuwaza kuhusu mtoto yule anayekufa kwa kansa tandahimba, mzee yule anayekosa chakula leo masieda mbulu, na mama yule aliyeko mwandiga kigoma, ambae anajifungua akiwa anamsubiri nesi ambaye yuko kwenye foleni nmb kupokea mshahara wake.

  Rais nasema ndio anayefaa kuongoza nchi hii kwasababu anatumia uelewa wa wananchi wake kuzungumzia hali ya maisha, kwa mfano ni wangapi mlioku humu kwenye jamii forum mnao amini kukua kwa uchumi ni hata kuwa na gari, kwani uongo mwaka themanini ni wangapi wetu waliokuwa wanamiliki magari, leo hii ooh magari sio kukuwa kwa uchumi rais hafikirii angetatua tatizo la foleni, Je rais kama angeshauriana na Magufuli na kusema parking mjini kwa siku ni shilling elfu ishirini si mngeandamana uchi nyie mnaokuwa wepesi kulalamika??? Faini iliposomwa laki tatu badala ya hamsini mlipanua midomo mpaka kimeo kikaonekana.

  Rais kikwete ndio anayeweza kuongoza nchi hii, kuna baadhi ya wananchi wanao ona umeme ni anasa NDIO pia sisi tunaongozwa na huyo huyo mnao muona hafai kwetu tatizo sio umeme, HATUNA MAJI je kila mtu akianza kumuambia rais arudi safarini alipoenda KUHEMEA kwa ajili ya watu wake je mambo mengine yatatatulika??? Kwani ni asilimia ngapi ya wananchi wenye access ya umeme???? Hapa watu wanatumia kila nafasi kupayuka hasa kwa miitikio ya kisiasa, Angekuwa Dr Slaa rais angefunga vinu vya nuclear vizalishe umeme au angeangalia juu mwenyezi Mungu alete mvua????

  Kikwete wewe ndio unaofaaa sisi asilimia 80% tuishio vijijini wewe ndio rais wetu, tunakutambua na kukuunga mkono na yote ufanyayo ni kwa ajili yetu, rais haendi ulaya kufanya shopping ya chakula ndani, wala nguo za kuvaa anenda kwa lengo moja tu la kutafuta jinsi ya kutimiza AHADI ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

  Rais kikwete ndio anayefaa kuongoza Tanzania, Mungu mpe afya na hekima ya kuendelea kutatua matatizo ya watu wako, ningekuwa na namba ningekutumia sms ya kukupongeza.

  MAISHA BORA HAYAJI KWA KULALA, MAJUNGU NA MAANDAMANO AMKA FANYA KAZI TANZANIA ITAJENGWA NA MWANANCHI MMOJA MMOJA:
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo siyo "mbowe hamna kitu pale upstair" NI WEWE, PINDA, jk (vASCO dA gAMA) na serikali nzima inayoongozwa na CCM ndiyo upstairs kumeganda na down stairs kunavuja.
   
 18. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Nauliza tu. Unaweza kuwa na mipango mizuri ambayo haitekelezeki? Or is not true kwamba mpango mzuri ni pamoja kuwa unatekelezeka?
   
 19. a

  amaniwakusoma Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa nilipo naandika reply hii nikiw gizan, nimetoka chuo, j3 nina test na j5! Hapa kuna jambo gan zuri!! Kama kuna baya ndan ya serkal, bac ni hli la umeme! Mi naona bora wizara hii wangepewa wapinzan kama ilivyo kwa zile kamat tatu za kudumu za bunge, labda hali ingekuw nzur kidogo! Hapa had rais anasema asilaumiw kwa ukosef wa umeme, sasa cc tumlaumu nan, kila cku 2na mipango kabambe ya kumaliza tatz la mgao! Hakuna hata moja limefanikiwa! Alipokuja ngeleja awamu ya pili akasema "huu ndo mwisho wa mgao wa umeme" wapi..... Ndo kwanza mwanzo wa mgao unaanza!"WE ARE REALY HOPPLESS WITH THIS CORRUPTED GOVERNMENT"
   
 20. a

  amaniwakusoma Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kweli itajengwa na mtanzania mmojammoja, then hakuna haja ya kuwa ma serikali, umeme hola,elimu hola,maliasili hola,madini hola,katiba na sheria hola!Kilimo hola!On the other side,ufisad umekithiri,mikataba mibovu kila kukicha,uonevu kwa raia,THEN THIS GOVT IS ACTING NEGATIVELY, kwamba THERE IS NO NEED OF HAVING THIS KIND OF GOVENMENT, Kama kweli "Tanzania itajengwa na mtanzania mmojammoja" and that is the case bali ni kwa msaada wa serikali makini!!
   
Loading...