Naomba mgawo wa umeme undelee.....

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Hali hii ya mgawo wa umeme sasa ni tata sana. Watu wanalalamikia hali hii. Tujuavyo sisi wa TZ ni watu tunaoongozwa na matukio. Tukio linakuja linaisha hakuna kinachoendelea katika eneo la maendeleo ya mtu mmoja mmoja hata taifa kwa ujumla.

Ningependa mgawo huu uendelee nione mwisho wake utakuwaje.
 
mwisho wake mbona umeshajijibu mwenyewe.....hakuna kinachoendelea!
 
Back
Top Bottom