Sitta: Nitasema kweli daima! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta: Nitasema kweli daima!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKWECHE, Jul 23, 2011.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta, amesema ataendelea kusema ukweli daima kwa wananchi kuhusu kasoro ndani ya CCM na serikali akiamini kuwa huo ndiyo uwajibakaji.Sitta alisema serikali makini lazima ikiri upungufu unaotokana na makosa yake."Nilichokisema Mbeya ni kuambia Watanzania ukweli. Na nitaendelea kuwaambia ukweli".
  Kusema ukweli ni kujijengea heshima kwa Umma
  Anaendelea kufunguka kuwa hawezi kuishi katika uongo na wanaompinga yeye ni wafuasi wa MAFISADI!
  Jamani huyo ndio Mzee Samweli Sitta Original!
  Kipengee cha Kusema hawezi kuishi uongo ndio ka-tamu!
  images (1).jpg Mh.6.jpg
  Atasemayote hata ya "Kumsingizia ni mmoja wa waanzilishi wa CCJ na Anaishi nyumba ya Spika wakati mliona anapostaafu akiwa ndani ya nyuma!
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kati vitu ninavyochukia basi ni unafiki wa huyu mzee. Nchi katu haiwezi kuendelea tukiwa na watu wa aina ya Sita. Mi sielewi JK anamuogopa nini. Huyu jamaa anazidi kuiangusha serikali yake. Hiyo heshima feki ni kwa wananchi wasiojua ukweli wa kugombea madaraka au kusambaratika kwa mtandao wao. Huu ni unafki mtupu. EL kesha jiuzulu, umeme hakuna yeye ni waziri anatakiwa atusaidie au la atoke ndani ya serikali. ndoto zake ni urais kitu ambacho katu hakiwezi kutokea kwake. hajui hata collective responsibility ni nini wkt ni lawyer. Upuuzi mtupu. hatuna muda wa kusikiliza malalamiko yake yasiyoisha. Na kama kidume kweli abakishe jimbo la Igunga. CDM sio wkt wa malumbano ni wkt wa kuweka mipango ya kutawala. EL funguka kinuke vizuri.
   
 3. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitta ni MNAFIKI MKUBWA!Anaishi nyumba ya anasa pale Masaki kama spika mstaafu wakati alipigwa chini kwenye uchaguzi wa uspika!Urambo wananchi wanaishi maisha duni kuliko anavyojifanya kujali maisha yao!huduma mbovu za jamii jimboni kwake!eti ni mtetezi wa wanyonge!duh!unawezaje kutetea wanyonge wakati wewe unaishi kwa anasa kiasi hicho!Sitta hoja zake zimekaa kinafiki nafiki hivi,mara atake kuanzisha CCJ!Urais haupati ng'o!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hafai kanisani Hafai Msikitini, hata shetani hamtaki. mnafiki mkubwa huyu 6 haaminiki.
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sitta Sitta Sitta! Give us a break!
   
 6. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  CCM watu wa ajabu sana! Hivi mnajua pamoja na unafiki wa 6 bado kuna wanafiki miongoni mwa wanaompinga ndani ya Magamba? Wanampinga si kwa hoja za kuwashambulia mafisadi wenzake kwa njia ya kutafuta umaarufu bali wanampinga kwa kuhofia labda wananchi watamkubali na hivyo kuzuia ndoto zao za kupata urais au ndoto za maswahiba wao wanaowania urais.
  Imefikia hatua naanza kuamini kwamba wale wanaobashiri kwamba JK anaweza kukwepa vurugu kwa kumpendekeza Mzanzibari (Zamu yao) au Asha Rose Migiro (Tupate Mwanamana kama kwa Bi. Kiroboto) wako sahihi. JK hana sifa ya kujali matokeo ya vitu anavyofanya yeye anachoangalia ni nini anataka na wakati gani basi. Usishangae akimpendekeza Sophia Simba..... Hahahaaaaa...!
  Kujiuzulu kwa Rostam kumenipa hisia kwamba hiyo ni mbinu ya maksudi kumwondoa Lowasa katika Mlinganyo ili kutoa nafasi kwa chaguo tofauti lakini naamini pia chaguo hilo siyo Samwel Sita. Hata Magufuli pamoja na kauli zake za kujipendekeza kwa ****** siku za karibuni hazimpi nafasi ya kuungwa mkono na JK wala wapambe wake wa karibu.
   
 7. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Sita kiboko ya ccm, wana cdm wenzangu msimtukane 6 maana huyo ndio njia yetu ya kuchukua nchi 2015, maana kwa unafiki wake tayari anakisambaratisha chama chake na ccj ndo ishazikwa atakaposhindwa kupita kwenye kura za maoni mtaona atakavyojilipua yy na wenzake. Hakika ninawaambia mwisho wa 6 na ccm ni kura za maoni urais 2015.
  CCM INAKUFA, ASANTE MUNGU UMESIKIA KILIO CHETU.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sita alizima mjadala wa dowans bungeni Tanzania imekuwa na Tanzanite na Tanzagiza. Rip samwel sita
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Imekaa vizuri hiyo!
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kwa kupotezea mjadala wa richmond bungeni huyu mze sitamsamehe kabisa
   
 11. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  aseme ukweli kuhusu ujambazi wake pale tanzania investment centre. atuambie kuhusu ile nyumba yake ya 12milioni kwa mwezi huku wanafunzi hawana madawati. mibaba mingine minafiki mno
   
 12. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sofia simba? Bora nikaishi pakistani lakini sio kuongozwa na huyu zumbukuku..shule zote zitageuka gest house lol mwanamke yule..
   
 13. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli Sitta ni Mkweli. Na katika kuthibitisha hilo ndio maana siku ile aliamua kumwonyesha Mkewe kwamba ana NYUMBA NDOGO alipopeleka Lori la Maji ya Nyumba ndogo kwa kulipitishia nyumbani kwa Mkewe.
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Ukweli wa kuwaambia wapinzani warudishe posho zote walizochukua?
   
 15. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uraisi hautafutwi kwa njia hiyo unapuliza huku na kule. Utabakia juu ya jiwe mwishowe.
   
 16. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,
  Esp CCM menadhani mwacheni Sitta aseme anavyo taka yeye kama anaona ni sawa ndio ukweli daima basi ndio kaona ivyo comment yale unayoyaona ni mema kwa taifa lako na yale wewe unaona kachemka mwambie,

  Me sishangai yeye kuwawashia wana CCM wenzake na wale wanao washiwa wanakaaa kimya kwanini wasijibu kama kweli wao wanaonewa wajua hii ni democrasia basi wako huru kujibu hoja na sio kuwa makuwadi wa MAFISANI wewe una hijo ha kujibu ijibu usibake kulalama. wajua me huwa napenda kuwaambia wale wote wana CCM wenzangu kama wewe wajiona uko safi panda jibu, si free democracy!!! nini umbishie mwenzio na useme ni mnafki wakati wewe hujasimama na kupinga hoja kuwa hapo ni uongo na sio kweli na la kweli ni hili?? Guninita anajisahau kuwa miaka inakwenda na siku hazigandi eeeeh CCM sio Baba wa Mama yake, Ati ooh sitta akija Dar hakuna maandamano wewe guninita umekuwa mtoa vibali serikalini? au utapinga CCM isipitishe kibali cha kujisafisha? basi wewe guninita umeona ndani ya viongozi wanafanya madudu live kwa kuona tu kwa macho inatia shaka leo pia unataka bisha wewe ni mwana siasa wa muda mrefu jaribu kwenda na alama za nyakati japo wananchi waone maoni yako yanaendana na hali halisi sio unapinga tuuu na kulazimisha uongo uwe ukweli vitu vipo wazi yanini upige chenga?
   
 17. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sita ni heri akamua kuwa baridi au moto kuliko anavyobaki na uvuguvugu lake........haeleweki yupo upande gani? kwa nini anakosa msimamo?? atatangatanga mpaka lini?
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Aseme wazi ni lini ataacha kupokea $8000 kila mwezi pango la nyumba ilihali yeye si spika?
   
 19. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  6 ni oportunist anachoangalia ni kutimiza malengo yake kwa kutumia fursa zinazojitokeza. Ameona sasa hivi wananchi hawaitaki ccm ndo maana anatakakutumia hii nafasi kujipambanua na ccm ili aonekane yeye anafaa. subirini muone akimalizana na ccm atarudi kwa chadema ili kuwazima.Hasara asiyoijua ni kuwa watu hawaitaki ccm hata kama mgombea wake ni Dr. Slaa! Yeye anadhani anaweza kupata urais kupitia ccm. Ni mwoga na anataka kutumia nguvu ndogo ya ccm iliyobaki kujenga ccj. Anaogopa nini kuanza upya na ccj?
   
Loading...