Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.

Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com
 
CHADEMA hapa ilichemsha.

Na kama haikuweza kuonyesha judgement katika kum-screen huyu mercenary, essentially hii inatoa statement kwa CHADEMA kukosa judgement inayotakiwa kwa chama mbadala.

Judging from this fracas, is CHADEMA ready for prime time?
 
Chadema Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu mropokaji hana cha kufanya. Cha muhimu CHADEMA wafuate taratibu tu. Sana saana atakimbilia kurudi CCM aanze kusemea mbovu CHADEMA; hilo sio tatizo.

Kweli Kiranga, CHADEMA hapa ilichemsha, tena mno! Mimi tangu day one, sikupenda huyu jamaa aingie Chadema. Anyway, ndiyo kujifunza huko.
 
Huyu mropokaji hana cha kufanya. Cha muhimu CHADEMA wafuate taratibu tu. Sana saana atakimbilia kurudi CCM aanze kusemea mbovu CHADEMA; hilo sio tatizo.

Kweli Kiranga, CHADEMA hapa ilichemsha, tena mno! Mimi tangu day one, sikupenda huyu jamaa aingie Chadema. Anyway, ndiyo kujifunza huko.

All is not lost,

CHADEMA wanaweza kuamua kujifunza katika hili, au kujifanya shingo ngumu na kuendeleza tamaa za viti vya bunge bila tafakari yenye kina. Tunaangalia wateule wao wa ubunge 2015, kama chama kitakuwapo ( katika hi form) 2015.

Wangetusikiliza tuliokuwa tunawaambia huyu bwana ni timebomb tangu mwanzo wala wasingekuwa na matatizo haya sasa.
 
jamani huyu jamaa yupo ndani ya chama alafu anakifananisha na mlenda? natamani ningekuwa kamati kuu nimtimue fasta! alafu hao wa-arusha wakiside na hili dubwasha basi mie ntaamini kuwa siyo wapambanaji na ni wala rushwa tu,meaning hata hayo maridhiano ni uchwara! huwezi kuside na mtu mchafu ukawa msafi
 
shibuda anatafuta pa kuegema hana llote huyu.....na hawezi kukwepa kama kweli chadema wakiamua kumtosa......

lakini pia hili liwe fundisho kwa chadema...waliambiwa sanajuu ya kumpokea mamluki huyu......tena nakumbuka kiranga na Rev kishoka walikuwa mstari wa mbele lakini chadema haikusikia......hata miaka mitatu haijaisha tayari jamaa anaoneakana kupwaya
 
kuna haja ya ku-seek reference kutoka kwa mtalaka wa wanachama woote wanaotoka chama cha magamba, especially high profile pple! huyu anataka kupeleka taarab za ccm huko chadema. i wish wangemgundua wakamuacha abwatukeee, akichoka anyamaze na sheria ichukue mkondo. same treatment kama aliyopewa nape, karopokaaaa hadi per diem zimeisha sasa katulia na familia yake nyumbani!
 
wanasubiri labda ajivuegwanda..kuna katuni moja ya king kinya inaonesha uvimbe wa shibuda na umeya r chuga na hili na hisi huyu katunist kaliona hilo..
 
Nakumbuka wakati wa uchaguzi mwaka jana Chadema ilionywa na baadhi ya watu humu kuhusu kuchukua mabaki ya vyama vingine. Kama kawaida wale mashabiki ambao hawaangalii mbele wa kureason wakatetea. Kuna baadhi ya members walionya specifically kuhusu Shibuda lakini wale fuata upepo wakamuita Shibuda "kamanda", "mpiganaji", "mwanamapinduzi" nk. Leo hii watu hao hao wamemgeuka kitu kinacho thibitisha kwamba humu ndani kuna wengi tu ni bendera fuata upepo na hawana uwezo wa kupingana na wengi ao uwezo wa kufikiria wenyewe.

Anyway ishu ya Shibuda Chadema ilijikoroga yenyewe. Sasa tuone watakavyo deal na hii ishu. Ila ukweli ni kwamba kuna watu walisema Shibuda ni shushushu na kama anatishia kwamba wakimfukuza Chadema watakiona inawezekana kasha tengeneza profile kubwa kuhusu Chadema tayari kulitumia dhidi yao.
 
kwani shibuda ni nani ili aogopwe kufukuzwa. yaani jitu likiuke maadili na sera za chama chake halafu aachwe et kwa sababu ni shibuda...that is nonsense
 
All is not lost,

CHADEMA wanaweza kuamua kujifunza katika hili, au kujifanya shingo ngumu na kuendeleza tamaa za viti vya bunge bila tafakari yenye kina. Tunaangalia wateule wao wa ubunge 2015, kama chama kitakuwapo ( katika hi form) 2015.

Wangetusikiliza tuliokuwa tunawaambia huyu bwana ni timebomb tangu mwanzo wala wasingekuwa na matatizo haya sasa.

Kama unavyosema mkuu tatizo Chadema mwaka jana walishikwa na tamaa ya kukamata viti vingi vya ubunge wakawa na mkakati ulio zingatia quantity kuliko quality zaidi. Labda ilikua pressure ya umaarufu walioupata mwaka jana wakaona ni lazima umaarufu huo uendane na idadi fulani bungeni au labda kweli waliamini hao mabaki wanaowachukua kweli wanaweza kuleta tofauti. Ukweli unabaki kwamba ilikua a very big political and analytical misjudgement kumchukua huyu mtu. Lakini watu kama wewe mlioonya mlionekana mnachuki binafsi na Chadema na baadhi ya wanasiasa wake.
 
Tangia day one tulipost hapa ndani ni kuwatahadharisha CHADEMA kumpoke huyu "askari wa kukodi" - Shibuda is neither CCM nor CHADEMA is just himself - as much as Mabere Marando & Augustino Mrema - wote hawa ni waharibifu tu!
 
CHADEMA wakimfukuza SHIBUDA watakuwa wamekosea mno Mgongano wa mawazo ndiyo uhai wa chama hasa cha siasa na hizo ndiyo siasa zenyewe Hawawaoni waanzilishi wa CCJ bado wanadumu kwenye.................
 
Back
Top Bottom