Bukoba hawajui hata mgao wa umeme/giza ukoje, wananchi wanasema tunazusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bukoba hawajui hata mgao wa umeme/giza ukoje, wananchi wanasema tunazusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Jul 19, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kuna baadhi ya mikoa hapa nchini hususan Kagera hasahasa Bukoba hapa mjini, Kyaka Bunazi, Karagwe hawajui kabisaaa kama kuna tatizo la umeme nchini. Wanapoona magazeti yanaandika kuhusu mgao wao wanashangaa akusema eti ni Tanzania wanayoijua wao au nyingine. Nawaomba wawapigie simu ndugu zao walioko mikoani kwingine wawaeleze mziki ulivyo. Bukoba hapo na maeneo wanayoyataja wanapata umeme kutoka Uganda ambao kukatika ni mara chache sana. Waganda wako kibiashara zaidi kiasi kwamba kwao hutokea ukakatika lakini wanaouuza Tanzania haukatiki. Nisaidieni kuwaelezea jinsi ambavyo watu wanaoishi kwa kuuza ice cream hawana kazi sasa hivi, wale wauza maji hawana kazi, na mambo mengine kibao. Wanaofanya kazi viwanda vya samaki hapa wao kila siku wako job, mashine za kusaga wao wako job kila siku, waulizeni wa Shinyanga huko wawaeleze. Waandishi wa habari na sisi vijana wanaharakati hatuzushi. Nchi ina hali mbaya msidanganywe na Geografia iliyowabeba. Mwingine anadiliki kusema eti "kweli wapinzani hamna dogo, mbona umeme hapa una miezi karibia 8 haujakatika hata kufikia muda nusu saa?" ni kweli lakini Tanzania sio Bukoba tu, wananchi kwingine wanatabu bana! CCM wengine watatumia kutoelewa kwa wananchi waseme wapinzani wazushi, kisa kelele za umeme wakati hawajaona umekatika. Wasiofikiri wataamini. Mwenye kuamisha kiwanda akilete huku azalishe na sio siasa za kuwadanganya watu kuwa nchi nzima ina umeme.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  pamoja na kuwa na umeme nimegundua itu kimoja nachi ni kuwa hawana hata radio wala tv.....kazi kunywa lubisi tu
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Umeme wa Bukoba unatoka Uganda.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mojawapo ya njia nzuri ya kutatua tatizo la umeme ni kuwa na vyanzo vya kuzalisha vinavyojitegemea tofauti katika maeneo mbalimbali bila kulazimika kuunganishwa kwenye grid ya taifa. Mfano watu wa kigoma, mtwara na kagera.
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tutaongea mengi sana kama serikali haitoamua ni kazi bure
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ta Muganyizi,

  Mushanage Waitu? Vipi Lubisi hapo Kanazi?
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ahahahahahaahhahahahaha, radio ipo ya Kagasheki bana, loh!! umeua mwanaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  r

  tehetehetehetehetehetehetehetehete Lubisi ya kumwaga umeme mwingi sana huku yaaani balaaa. Mie naona kila mkoa uzalishe wa kwake. Mikoa ambayo haina vyanzo vya kuzalisha isaidiwe na ile ya jirani kuliko kuwa na li- grid la Taifa ambalo kila siku ni wizi mtupu
   
 9. E

  Edo JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ni kweli nimetoka huko juma lililopita-RC anasema kwao mgao wa umeme ni vocabulary!
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,141
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  Wanatumia umeme kutoka uganda.
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Sawa umeme wao unatoka Uganda lakini hapa Kampala tuko kwenye mgawo! Isijekuwa wanaendeleza sera za Hayati Idi Amin aliyejaribu kumega kipande cha huu mkoa?
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Waganda wako kibiashara zaidi. Bora wao wagawiane lakini sisin watupe 24 hours!!!
   
 13. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kweli bukoba pombe watu simlikuwa mnamuona tibaigana pombe mtu hivyo sishangaii hata kusikia hivyo.
   
 14. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu na mie nipo na watu toka Mtwara, nao mgao wa umeme ni kitendawili.....
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ule tunuoupeleka Zanzibar haukatiki kama wa kwa bara...
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Inaonekana kwao kuwe na umeme kusiwe na umeme sawa as am told ni ya 19 kimaendeleo tanzania wakiwa na pato la tshs 483158 kwa mwaka na kati ya hecta 1.5milioni ni laki sita tuu ndo zatumika kumbuka iyo ni arable land.
  Jamani wahaya kazaneni migombani ili mpate uinua mkoa wenu kama wachaga wanakazana kwenye kahawa
   
 17. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Ta muganyizi, hapa bunazi kama tupo ulaya kwakeli, actually umeme uku kukatika n wakati wa service, wanapo fanya service wanakata kwa masaa mawili tu, then tunaendelea kula mema ya nchi. nawashauri nyote mliopo kwenye mgao wa umeme muhamie bukoba kwa muda.
   
 18. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Te te te! uganda oyeee!
   
 19. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  We shika adabu yako tuombe radhi wana Bk bukoba kuna vituo viwili vya redio navyo ni KasibnteFm na Radio vision fm na zote zin coverage mkoa mzima achilia mbali RFA na Radio one,tatizo wanasema NGUO YA KUAZIMA...! Wana Bk umeme tumeazimwa ni muhimu tukaunganishwa na gridi ya taifa.
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa nini unafungua mada mpya wakati kuna mada za umeme hapa jamani ? Haya ungalisemea kule kupunguza utitiri wa mada hapa ndugu yangu .Duh haya
   
Loading...