madiwani cdm wanaotaka kumburuza slaa mahakamani hawa hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madiwani cdm wanaotaka kumburuza slaa mahakamani hawa hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by superfisadi, Jul 23, 2011.

 1. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  DSC05413.JPG
  na niziweke hapa tuwajue madiwani ngangari wa cdm wanaotaka kumpeleka katibu wao mkuu mahakamani
   
 2. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  DSC05412.JPG

  madiwani hao wakiwa kwenye kikao walichokatazwa
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli cdm inahitaji matibabu makubwa sana kama king kinya livyoona..
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wafukuzwe uwanachama hao,mbona wanakuwa hawatii walivyoambiwa na Viongozi wao?
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kaka wataje kwa majina maana wengine hatuzijui hizo sura!
   
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Hili Jambo nadhani wanatakiwa hawo madiwani na Mbunge wao Lema wakarishwe chini watuambie kiunaga ubaga kulikoni???Kwanini madiwani wakimbilie Muafaka kwa kusingizia wananchi watawauliza munatufanyia nini ingali twajua fika posho zilikuwa matatanii je ni njaaa?

  Kwanini Lema Mbg ulipo rudi hukuwaita madiwani kuwauliza na ukarukia vyombo vya habari na kuhisi kwa kushutumu madiwani wame pokea rushwa na huku ushahidi umekuja jidhihirisha hawja pokea by any means? Lema wewe kama mbunge futa kauli tu kiuungwani tujue ilikuwa ni jazba uliwshutumu vibaya wasafishe tuuu we ndio kiongozi wao na ukisimama ukasema hayo natumaini wananchi bado wana imani nawe tuu. Mangapi umesimama mstari wa mbele kutete wananchi wako wa Arusha iwe hili la kuwasafisha madiwani tuu wape nafasi zoa tuu tuone kama kuna free democracy.

  Mbali na hayo niliyo yasema twende mbele turudi nyuma yet kuna hali halisi ya NJAAAA inatawala ndani ya madiwani na hiini hali halisi ya mji huo watu ni pesa mbele kwanza na uongozi baadae lini mtakuwa viongozi waadilifu wazalendo
   
Loading...