Jamani wanajamii mgao wa umeme huku Moshi ni balaa na janga pia. Umeme unakatwa saa moja ahsubuhi unarejeshwa saa tano usiku, bila kujali kuwa ni laini ya hospitali umeme unakatwa jenereta...
Wanajukwaa nimesikia kupitia mapitio ya magazeti kupitia East African Radio kwamba Mh. Lyatonga amemwandikia Spika barua kuwashtaki Wanakamati wake kwamba toka kuanza kwa vikao vinavyoendelea vya...
SIKU moja baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Dk Edward Hoseah, kusema kwamba ofisi yake imekamilisha uchunguzi wa madai ya kumiliki Dola za Marekani 1.2 milioni...
wanajf kati ya wananchi na serikali ni nani mwenye kuwa na final say kwenye jambo lolote linagusa mambo ya kitaifa
mf. Huku kukatika kwa umeme mara kwa mara kunakopelekea bei ya vitu kupanda kwa...
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo...
Pamoja na ugunduzi wa mafuta hapa nchi lakina uganda wana amini TANZANIA tunaweza kuwa soko lao la mafuta (refinery)
nini kinawapa waganda ujasiri huu?
hawana maliasili mafuta kama sisi, ina...
Chadema tunawshukuru wa kupigia kelele ufisadi lakini una kitu kienishangaza .
Lakini kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imeazishwa na magamba basi mnaona si haki...
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye amewapokea wanachama Wapya wa CCM Tawi la SMMUCO Tawi la Tumaini HIMO.
Jumla ya wanachama Wapya 193 wamejiunga na CCM na wamefungua Tawi lao...
Ripoti ya Uchaguzi Chadema
Ripoti ya Kamati iliyondwa na Chadema kuchunguza maridhiano ya madiwani wake ,CCM na TLP Arusha Mjini, imesema hakuna tuhuma za rushwa katika mchakato huo kama...
Hamna shaka watanzania badowana mapenzi ya dhatikwa raisi mstaafu Mkapa, pamoja na matatizo yake yote katika utawala wake ,alijipambanua kama kiongozi jasiri,sio mnafiki aliyekuwa na vision ya...
Mhitimu mwanzilishi 1961 afunika mahafali UDSM
Mwananchi Sunday, 28 November 2010 20:59
Jackson Odoyo
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kimeadhimisha mahafali ya 40 kwa staili ya aina yake...
Muungano wa Tanzania kimsingi,ulivunjwa rasmi April 1964, na yule yule muasisi wake Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Na Laila Abdulla
Naelewa utashangaa kusikia hivyo. Mara tu baada ya...
Naomba nianze kwa kusema hivi...chama cha democrasia na maendeleo kina wenyewe ambao ni wachaga...Tindu lisu aendelee kupiga kelele ivo ivo cku akitaka uongozi wa juu ndani ya cdm ndo atawajua...
Uliutaka urais na ukaupata.
Hakuna heshima nyingine tena utakayoipata zaidi ya hii uliyoipata ya kuwa rais wa taifa letu. Nakusihi kama kweli unaipenda nchi yetu achia madaraka ili mwingine nae...
Jana kwenye kikao cha bunge wakati mbunge wa CHADEMA- Leticia Nyerere alipokuwa anazungumza alikuwa akichanganya kiingereza na kiswahili, kuna mbunge mwingine simkumbuki jina wala chama chake...
Mpaka siku ile tutakapopata RAIS mwenye uchungu na nchi yake.ambaye anaweza kuwaprosecute wahusika wa skandali zote hapo juu,bila kujali wadhifa zao ,Ndipo taifa letu litasonga mbele.Tumeshikwa na...
Wadau jumamosi tarehe 30 july 2011, star Tv watarusha mdahalo wenye mada, Bunge la kumi na tanzania tunayoitaka, wazungumzaji wakuu watakuwa Mh. Ndugai Naibu Spika na Tundu lissu.
Bila shaka hii...