WANANCHI vs SERIKALI

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10
wanajf kati ya wananchi na serikali ni nani mwenye kuwa na final say kwenye jambo lolote linagusa mambo ya kitaifa
mf. Huku kukatika kwa umeme mara kwa mara kunakopelekea bei ya vitu kupanda kwa sabb ya gharama kubwa ya uzalishaji hivyo kufanya maisha kuwa ghali kwa wananchi wengi wenye kipato cha chini huku mafisadi wakigawana posho na ujira wa mwia je wananchi mnasubiri kuwambiwa nini cha kufanya au mnataka kuchekwa kwa umbumbu wenu wa mbio zetu toke uhuru
Nawasilisha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom