Mgao wa umeme unaoendelea utauwa wagonjwa hospitali ya rufaa KCMC!

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,609
4,097
Jamani wanajamii mgao wa umeme huku Moshi ni balaa na janga pia. Umeme unakatwa saa moja ahsubuhi unarejeshwa saa tano usiku, bila kujali kuwa ni laini ya hospitali umeme unakatwa jenereta linaungurum kutwa nzima. Je, watanzania ambao hawawezi kupelekwa India kimatibabu wataponea wapi au ndo sera za Magamba kutuua kwa njia hiyo? Nawasilisha;
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom