Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapo kale palikuwa na utaratibu wa kupokezana urais wa muungano, rais akitoka bara, makamu atoke visiwani, uchaguzi mwingine rais atoke visiwani makamu bara, JE hili lilikuwa kwenye katiba ya nchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nape kama ninavyokumbuka aliwahi kusema chanzo cha cc magamba kukosa ushindi wa kishindo mwaka jana ni pamoja na kuwa na wanachama wasiowakweli, na ili kukomesha hali hii alisema kuanzia sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa mambo ya ndani anasoma budget yake kama mhe zitto kupitia ipad mjengoni now!!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
"Tafadhali chukua tu hivi vitunguu nahitaji pesa kwa ajili ya mafuta ya taa, keshokutwa ukipita hapa utanilipa hiyio pesa". Ni kauli ya Mama wa Kijiji cha Kilombero, kilometya chache kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mh! zitto upo bungeni kweli? takriban wizara tatu sasa bajeti zake zimejadiliwa sijakusikia ina maana huna cha kuchangia kwenye wizara hzo? mfano w.uvuvi mmepitisha bajeti yake nilidhan ungekuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbunge wa Mtera(CCM) Livingston Lusinde amesema bungeni kuwa, adui mkuwa wa serikali sio Chadema bali ni utendaji mbovu wa serikali yenyewe na kuendeleza visingizio visivyokuwa na msingi wowote...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Meneja Mkuu wa shirika la usafiri UDA ndugu Victor Milanzi anazungumza na waandishi wa habari leo kueleza kile anachojua kuhusu tuhuma za Meyor wa jiji ndugu Masaburi yeyote aliyepo karibu na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani nimesoma gazeti la Nipashe Jumapili, linasema kuna kontena 5 zenye uzito wa tani 25 kila moja,habari hizo zinasema samaki hao wametokea mji wa Fukushima ambao mji huo maji yake ndiyo...
0 Reactions
82 Replies
15K Views
Wanajamii,. nikiwa mmoja wa wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yangu, na mwanaharakati niniye guswa na matatizo yanayo ikumba jamii ya kitanzania hasa kutokana na athari za kisiasa, napenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna watu wameandika thead ihusuyo kujiuzulu kwangu, ndani yake kuna ukweli lakini pia kuna upotoshaji wa baadhi ya mambo. Naomba nitoe maelezo sahihi. Mimi nimekuwa mwenyekiti wa Chadema ubungo...
19 Reactions
63 Replies
5K Views
Uhali gani mwanaforum. Nimekuwa mtu mwenye mitazamo chanya na hasi hasa ktk serikali ya JK, Ila naweza sema sijawah kuchoka kusema na leo narudia tena, serikali ya Rais wangu mpendwa JK, LAZIMA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema madiwani watano wa chama hicho kati ya 11 waliodai kuhusika na uingiaji mwafaka na CCM, wamewasilisha barua za kuomba radhi ofisini kwake. Hatua...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Naomba mtupatie clear strategy ya namna mtakavyotatua tatizo la umeme. we need to see your strategic plan na solution ONYO: Enough with blame games hivyo naomba we leave CCM na akina EL na Rotam...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Norway is a REAL friend and partner wa nchi yetu. Lakini cha kushangaza its more than 24 hrs none of our selfish & out of touch politician from both sides of the spectrum including opposition...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
The power rationing that began late last year is now a lot worse, thanks to our well-documented inability to plan for the future. As a result, Tanesco employees are now the only workers of a power...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Alhamisi tarehe 28/07/11 Wizara ya Mambo ya ndani itawasilisha hoja/bajeti yake bungeni. Wizara hii inasimamia uhamiaji, polisi, magereza na hata usalama barabarani. Akiwa kama Waziri kivuli...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza pokea salaam zangu za dhati kutoka ktk eneo linaoongoza kwa mgao Tanzania nzima kuliko maeneo yote Mh. Wiliam Ngeleja. Ni Waziri wa nishati na madini Mh. Wiliam Ngeleja aliyevunja rekodi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…