Kupokezana urais Bara na Visiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupokezana urais Bara na Visiwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TECHMAN, Jul 28, 2011.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Hapo kale palikuwa na utaratibu wa kupokezana urais wa muungano, rais akitoka bara, makamu atoke visiwani, uchaguzi mwingine rais atoke visiwani makamu bara, JE hili lilikuwa kwenye katiba ya nchi au katiba ya ccm? Bado lipo au lishakufa baada ya Julius kufa?

  :A S thumbs_up:
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ahaa wazanzibar imekula kwenu mtabakia kuwa na makamo wa rais daima milele ambaye kazi yake ni kufungua na kuzindua activities mbali mbali
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hakika umenena. Mwaka 2005 walitufanyia ile mbaya kutupatia huyu rais wa sasa ambaye amefeli katka kila nyanja baada ya kumkataa mtu wao Dr Salim kwa kumsingizia mambo ya hovyo kabisa. Wazanzibari hawakutaka kutoa rais ingawa mwaka ule kila kitu kilikuwa kinaashiria ni zamu tyao. Wao waliona kuwa" kama ni huyu Dr Salim, basi ni boira Bara mkaendelea tu kutoa marais. Ni mambo ya ajabu sana ya hawa mayakhe. -- hawana maana kabisa.

  Nauliza tu: HGivi lina tena Wazanzibari wanaweza kupata mgombea strong wa urais wa Muungano? Kweli imekula kwao!
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  wazungu wanaita 'historical mistake' na ccm by then walikuwa na golden chance ya kuimarisha Muungano ambayo ingerekebisha 'madudu' mengu waliyoyafany kuanzia miaka ya mid 1980s.
  Sasa huyu katoka Mkuranga na kpitia ZNZ ili azuge lakini uwezo wake nauona kama 'tone ndani ya bahari.
   
Loading...