Suala la Kikwete Kutukanwa Kila Mahali Linahitaji kuthibitishwa- Mh. Simbachawene | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala la Kikwete Kutukanwa Kila Mahali Linahitaji kuthibitishwa- Mh. Simbachawene

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jnuswe, Jul 28, 2011.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jioni hii Simbachawene ametamka bungeni kuwa hakuna Rais mwema kama Kikwete, Rais ambaye anatukanwa kila mahali anakuwa kimya tu bila kuchukua hatua yoyote.

  Mimi sikumpigia Mh. Kikwete kura lakini kwa sababu ni Rais wangu imeniuma sana.

  Kwa nini mwenyekiti asimtake Simbachawene kuwasilisha uthibitisho kuwa Rais wetu anatukanwa kila mahala na ananyamaza kimya?


  Kwa hili Simbachawene umemdharirisha Rais wetu, Rais anatukanwa kila mahala ?
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  Kikwete HAFAI na hili si tusi. Ni ukweli
   
 3. i

  iMind JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Angekua ni mpinzani ameongea hivyo lazima angeambiwa athibitishe.
   
 4. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yawezekana ndiyo Mh. Rais yetu hafai , sasa kwa hoja ya Simbachawene yeye hajajiuliza kwa nini mwenye kiti wa chama chake anatukanwa ? na kama ni kweli mwenyekiti wa ccm na ambaye ni Rais wa nchi anatukanwa ovyo ovyo hapo heshima ya nchi na Urais iko wapi ?
   
 5. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anajitukana mwenyewe. Mbona kwa marais wengine hali haikuwa hivyo na watanzania ni walewale?!
   
 6. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni sawa, tatizo ni:
  1. Akili mgando kwa viongozi wengi wa CCM,
  2. Mh. Rais (JK) naweza sema ni moja ya viongozi wa Africa wapenda mabadiliko na ni mtu anayeenda na wakati, yupo tayari kupokea challenge (ambapo wajinga wachache wanasema matusi), kwa staili hii ndiyo maana tunaona kuna mijadala yenye amani (isipokuwa jeshi la polisi linaongozwa na wenye akili mgando) na bila kuwa na Rais kama Mh. Jakaya basi ingewezekana TZ ya leo ingekuwa na vurugu kwani kukubali kwake challenge ndiyo relief ya wapinzani kuwa tumesema na kusikika badala ya tumekatazwa ngoja tutaona. Dunia ya sasa ni ya viongozi kupokea challenge na kutoa majibu panapowezekana na siyo kusema eti nimetukanwa! then umfunge huyo aliyekutukana?
  3. Staili ya uongozi wa JK inaonekana ni tofauti na hao anaowaongoza ndiyo maana alishawahi kulalamika kuwa vijana inabidi wachukue nchi kwani wazee wengi bado wapo enzi za fikra za mwenyekiti zidumu!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Masa yuko wapi... hii sredi inamfaa sana
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Panya-cha-wote inabid ajifunze kutofautisha kati ya kuambiwa ukweli na kutukanwa
   
 9. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tuende mbele turudi nyuma, Mh. wetu ni mungwana amegundua kachemsha kwa hiyo hata akitupiwa challenge awezi kuchukia kwa sababu huo ndo ukweli nchi ni kama imemshinda, miezi sita inapita hujasikia hata mwenye nchi anaongea muelekeo na msitakabali wa nchi yake , ila unasikia trip tu zinapigwa juu kwa juu
   
 10. w

  woyowoyo Senior Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwete ni mwanademokrasia ni rais mwenye kupenda challenge si vurugu.
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyo mbunge ni mkweli ndio maana hakuamabiwa athibitishe huyu prezidaa wetu ni mchovu hafai hata kwa wabunge wake seuse sie wengine
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mbona yeye Kikwete anatutukana sisi wananchi hatulalamiki? Kwa kutoa majibu ya kejeli zidi yetu sisi wananchi na kutuudhi mara kibao lakini hatulalamiki. Ukweli unabakia ukweli siku zote Kikwete ni Fisadi, Mpenda Safari na mtuaji Kodi zetu vibaya tena anazitafuna bila ya huruma na ni Muongo kama alivyotuhaidi 2005 Maisha bora aliyoyasema yapo wapi? au kukatika kwa Umeme na bei ya Vyakula, mafuta, Kukosekana Dawa mahospitalini, Rushwa iliyotawa Serikalini ndio Maisha Bora alituhaidi?

  Kikwete ni Vasco Da Gama II, Zee la Anga, Mfujaji Kodi Zetu na Bora Ajiuzulu kata Leo hakuna atakatesikitika zaidi ya furaha katika Nchi yetu na kufanya Siku hiyo iwe sikukuu ya kufurahia Useless Person ameondoka Magogoni
   
 13. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Lakini hapo si suala la kupenda democrasia , ingekuwa hivyo kwa jinsi ya maji yanavyozidi unga, angekuwa mpenda democrasia angeamua kuachia ngazi mwenyewe
   
 14. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo mwenyekiti na wabunge wote wamekubaliana kuwa Mh. wetu ni mchovu ? ndo maana Simbachawene hajaombwa uthibitisho ?
   
 15. J

  Jombi Jombii Senior Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli unawauma CCM ndio maana wanajitetea kwa hoja nyepesi za kuomba huruma kwa wananchi ambao wamewachoka.Jk ni dhaifu,legelege na Mwoga na wengi wamegundua hilo.
  1.Huwezi kuwa Rais Makini halafu mawaziri wako wanalumbana kama wapo vyama tofauti,
  2.nchi iko gizani hazungumzi na wanachi
  3.Mikoa yote inakabiliwa na njaa
  4.Migomo kila kona
  5.Mfumuko wa bei unapaa
  6.Wafanya biashara wanajiamulia bei ya vitu wapendavyo hasa mafuta
  7.Jeshi la polisi linanyanyasa na kuua raia wapendavyo
  Jamani nisaidieni hii orodha
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ccm donda ndugu. huyo rais wenu hajafanya lolote zaidi ya kuzurura tu huko ughaibuni. aibu kubwa sana hii
   
 17. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaah haaah haaah magamba bana lol.
   
 18. r

  reformer JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hana lolote huyu fisichawene..kazi yake kufukuzia watoto wa UDOM na CBE
   
 19. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  Anatukana, ndo'maana naye anafanyiwa vivyo. Example.....za kuambiwa changanya na za kwako" "wanapata mimba kwa vihele hele vyao". Kwa style hii unategemea nini, mwanzilishi ni nani. Au raia ndo'wanawajibu wa ku2kanwa na kukaa kimya!!?
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  we mwehu nini? Kama muungwana kanywe nae chai
   
Loading...