CCM sikizeni, CHADEMA sio magwanda ni sera na uzalendo, weledi na umakini hacheni kuiga nusu bana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM sikizeni, CHADEMA sio magwanda ni sera na uzalendo, weledi na umakini hacheni kuiga nusu bana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VIKWAZO, Jul 29, 2011.

 1. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  253198_223797840997440_100001016768117_642681_4270850_n.jpg

  Chama kilichoishiwa fikra kina dalili za KUFA. Mpaka uwezo wa fikra wa vijana wao nao umefika kikomo, KIFO chake ki karibu sana. Imebaki ni "copy and paste" tu. Wali "copy and paste" kutumia helkopta, issue ya katiba mpya, vita ya ufisadi (wakaita kujivua magamba, ambayo yanawashinda),kupinga posho, na sasa wame"copy and paste" mpaka mavazi. Sasa kilichobaki ni kuendeleza ustaarabu wa kiTz tu, kuwatakia maisha mema peponi.

  kwani ccm wanaona aibu gani kuchukua yote ya CHADAME na kuyatekeza!!!!!!
  maana naona kila kitu wamechukua mpaka maandamano lakini wakifika bungeni wanakuwa wabishi ili wananchi wawaone kwamba na wao wamo wana muziki wao lakini kumbe wanazimia muziki wa upinzani. ccm kwa sasa haina wabunifu ni NAPE tu kabuni nje ya kujitajilisha kwa ziara kila kukichana ili kujitambulisha kama waziri mkuu wa CCJ

  kukosa umakini, ubinafsi, wizi, kutokuwa na uzalendo na uchu wa madaraka (sitta) ni matatizo makubwa yanayokimaliza chama magamba lakini faraja kwa watanzania ni kwamba magamba hawajui hilo
   

  Attached Files:

 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  CCM zamani tulikuwa tunasema kuwa ni muungano wa ASP na TANU lakini sasa CCM ni muungano wa CCJ na CCM ,CCM ya sasa inaendeshwa kwa hisa mwenye fedha nyingi ndio mwenye hisa.
   
Loading...