Serikali ya CCM isiogopeshe wapinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM isiogopeshe wapinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Jul 28, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  namnukuu MARTIN LUTHER:A man who won't die for something is not fit to live. Serikali ya ccm inapaswa kujua hatukuingia upinzania wala kuunda vyama vya upinzani ili kuisifia au kuipongeza bali nikwaajili ya kuikosoa inapokosea, hivyo hivyo isiegemee kuwa ttaogopa kifo ,kifungo, mateso au vitisho , CHADEMA tutaendelea kuandamana kudai haki yeyote ile inayokiukwa na serikali ya ccm kwa gharama yeyote ile, wananchi wamechoka sisi ndiyo tunawachelewesha kufanya change ya serikali.

  The greatest destroyer of peace is abortion because if a mother can kill her own child, what is left for me to kill you and you to kill me? There is nothing between. ccm lazima iondoke sasa hata kabla ya uchaguzi, Watanzania tusiongope vitisho vyao tuwemstari wa mbele kuzidai haki zetu kwa nguvu zote.
   
 2. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  tupo tayari ila chadema inatuchelewesha kuchukua nchi yetu na kuiweka kwenye mikono salama
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kayasema madame Abwao leo.
   
 4. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Msiogope hata wanausalama wapo nyuma yenu kwa hali zote ila fanyeni maamuzi ya kweli. Mapinduzi ya kuikomboa nchi yapo mikononi mwenu CDM! Fanyeni hima taitaji MABADILIKO TUMECHOKA KUIBIWA NA CCM, please!
   
 5. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  kuisifia serikali ya ccm ama kuipongeza ni kuhalalisha mauaji ya kinyama kwa raia wasiyo na hatia na kuvunja haki za binadamu kitu ambacho tutakipinga milele, ccm haina hati miliki ya taifa hili, ikae ikijua kama kunawatu waliyoipigania na kuingiza madarakani hivyo hivyo kunawatu wanaipigania kuitoa madarakani, chadema tutasonga mbele bila kurudi nyuma
   
 6. n

  never JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  katika harakati hizi za kupigania haki na usawa wa mtanzania ni dhambi kwa wapigania haki woe kurudi nyuma. ccm imekuwa na kiburi cha hali ya juu kwakutumia jeshi la polisi vibaya kwakuwa jeshi hilo hutii na kufuata maangizo ya ccm na sisheria za kuongoza jeshi ama sheria za nchi kama zinavyosema, sasa chadema inapambana na ccm pamoja na jeshi la polisi.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hakika ntafurahia sana kuiondosha serikaki dhalimu na ya wezi waliokubuhu kwa mikono yangu miwili.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,187
  Trophy Points: 280
  Mfa maji Mkuu..... ndio maana unaona wanatoa kauli ambazo hazina mshiko...Kuna Wabunge wamepokea rushwa toka Nishati lakini hatumsikii Kikwete, Pinda wala Makinda kukemea uchafu huo na kutaka uchunguzi wa haraka ufanyike ili watuhumiwa wafukuzwe ndani ya Bunge letu "Tukufu"...mhhh! sijui kama bado ni Bunge tukufu.
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Amini usiamini CCM wanatishika/wametishika kwa hatua waliopo kuliko hata vitisho wapatavyo vyama pinzani hasa CDM... Mengine yooote ya kejeli/ubabe wanaongea kuonesha hawajateteleka lakini ukweli ni kwamba hawana raha wala hawalali usingizi... (na sio kwamba hawalali kua hali ya Watanzania majority ni mbaya! No!! Just because wanajua majority Watanzania wameamka na kuwang'amua Uchafu/Uozo wao) CDM haina hata haja ya kutumia nguvu kuwatika kutaka kuwashinda/kuwaendesha maana yale tu ndani ya chama chao ni tosha kabisa kujimaliza... acha Uongozi ulojaa Uozo ulio kithiri... Juzi tu hapa nape nimesikiliza Redion... Maelezo yake (na utashu wake woote wa kueleza hoja...) alichemka/babaika kuzungumzia issue nzima ya jinsi gani Chama chao kimevamiwa na Vigogo katika nyadhifa mbali mbali za Chama.... na jinsi gani kimeathiri chama kizima as a whole...
   
 10. n

  never JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  namnukuu*Napoleon Bonaparte*  A revolution can be neither made nor stopped. The only thing that can be done is for one of several of its children to give it a direction by dint of victories.*ccm lazima iondoke na itaondoka kwani watanzania wameichoka.
   
 11. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Be the change that you want to see in the world.*
   
 12. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  mkuu: *hivi hawa ccm wamekula nini? mbona hawataki kusikia? inamaana hawajui kuwa watz tumewachoka?
   
 13. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  ningalikuwa ccm ningalikaa pembeni kwanza kuwapisha wengine waingize mawazo yao niyaone ndiyo na mimi nianzekusema maana kila siku ninaharibu kila siku natoa ahadi hewa.
   
 14. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Vitisho vya serikari ya ccm dhidi ya raia wake na pia kuelekea watetezi wao wakuu, hasa chama cha CDM sasa ni dhahiri.
  kitu kimoja wasichojua serikari ya ccm ni jinsi gani watu wanapokea vitisho hivyo na namna wanavyo dharau viongozi wa serikari pale wanapojaribu kutetea maovu yanayofanywa na serikari yao na kutetea wahalifu kwa jina la kuendeleza amani na kulinda amani ya tangu uhuru.
  Uhuru tulionao ni wa wachache, viongozi wala rushwa, wafujaji na wadhalimu.
  Muda umefika sasa tukatae kuendeleza kuburuzwa kwa faida ya hasara zetu na watoto wetu ilhari wao na familia zao wanaula na miguu juu.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Bahati nzuri au mbaya wanajua TUMEWACHOKA... hivo kutumia kila njia kung'ang'ania...
   
 16. F

  FUSO JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  For the first time -- Huu ndiyo upinzani wa kweli. So far kwa sisi wananchi wa kawaida kabisa tunasema - Wapinzani wameonekana kuwa na hoja za msingi ambazo serikali imeshindwa kutoa majibu badala yake wanaanza kutishia nyau.

   
Loading...