Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sendeka azua balaa Kauli ya Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwamba Serikali inaelekea kufa kutokana na mgawanyo mbovu wa rasilimali, imechafua hali ya hewa bungeni baada ya wabunge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA MHONGA SAID RUHWANYA (MB) WIZARA YA UCHUKUZI KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA BAJETI, KWA MWAKA WA FEDHA 2011/2012 UTANGULIZI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viongozi wa dini sasa wajisalimisha *Wakiri kufanya biashara hiyo muda mrefu *Watoa ushuhuda mbele ya kamati ya maadili Na Mwandishi wa Jeshi la Polisi, Zanzibar VIONGOZI sita wa madhehebu ya...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
ASUBUHI HII KAMA DKK KUMI ZILIZOPITA MUHESHIMIWA MKUU WA UPINZANI FREEMAN AIKAEL MBOWE KATIKA MASWALI KWA WAZIRI WA UCHUKUZI AMEULIZA KUHUSU KUSIKITISHWA NA MKATABA WA KIA KATI YA SERIKALI NA...
2 Reactions
156 Replies
16K Views
Can our politicians for the sake of a 'balanced house and fairness; consider making sure the deputy speaker comes from the opposition bench? Thats what happens in most part of the world otherwise...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
  • Closed
Wakuu.Heshima mbele. Mtakumbuka kuwa Rais amelihutubia Bunge mara kadhaa tangu kuingia kwake madarakani. Katika hotuba zake Bungeni amezungumza mambo mengi na kutoa ahadi na mielekeo kadhaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tuesday, 02 August 2011 19:48 newsroom NA MWANDISHI WETU CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kitamfikisha mahakamani Makamu Mwenyekiti wa CUF, Machano Khamis Ali, kwa kauli chafu na za kebehi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-JF naombeni msaada mara kadhaa nimekuwa nikiingia katika website ya Bunge letu nakuta ki-sehemu kimekwa mahususi 'Ask the Speaker" na kuna picha ya Mhe. Samwel Sitta, mathalani sura ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa matukio yanayoendelea bungeni, natamani:- 1. Mtu kama profesa Baregu anahusika vipi au nafasi yake ipo vipi, ikumbukwe yeye ni mmoja wa wazee wa CDM na ni msomi mahiri wa sayansi ya siasa...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Baada ya kuona kundi la watu wapatao 10 wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali nyingi zikewa ni kejeli kwa ccm vijana wanaitwa green brigade waliwavamia watu na kuwanyanganya mabango yao...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Leo ni siku ya nane toka kuanza harakati za bavicha zikiongozwa na John Heche jimbo la Igunga. Ila toka kuanza kwa harakati hizi hakuna taarifa zozote tulizopewa hadi sasa juu ya hali ya kisiasa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Imekuwa fasheni siku hizi kwa watu mbalimbali kuwabeza wabunge wa Bunge hili la Kumi linaloendelea na mkutano wake wa nne, mjini Dodoma. Fasheni hiyo ilianza taratibu wiki kadhaa zilizopita...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
30 July 2011 Dar Es Salaam — After a prolonged tug of war, the management of RITES, an Indian company that ran the Tanzania Railways Limited (TRL), left for home yesterday, leaving the railway...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
*Wadai unanuka rushwa, siasa KUTOKANA na kusuasua kwa uendeshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), wabunge wamelishukia shirika hilo wakisema limejaa rushwa na maamuzi ya kisiasa. Wamesema...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Sina maana mfuate style ya maandamano, la hasha ...nina maana mtafute approach nzuri ambayo objective yake itakuwa ni kuwajengea uwezo wa utambuzi wa haki na wajibu wao. Tafadhali tusipuuze, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna maoni kuwa CCM ndio inakwamisha maendeleo ya kweli ya Tanzania, sababu ni kuwa kutokutokana na kutakuwepo kwa sera ya taifa ya maendeleo kila kiongozi anakuja na utaratibu wake wa maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kuhusu serikali kushusha bei ya mafuta ya taa *Wadau wahoji iweje chama kiipinge serikali yake Gladness Mboma na Stela Aron SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi, dear friends, as we were flying around Lake Zone we found another case involving the mighty Kisena - yes the same Robert Simon Kisena of Simon Group of Dar. He is accused of buying in similar...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo katika kikao cha bunge cha maswali na majibu mbunge Anna Kilango Malechela amemwambia naibu waziri Agrey Mwanri kuwa kalidanganya bunge wakati akijibu swali kuhusu hali ya maji katika jimbo...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Chama chochote makini huongozwa na Sera, sera kama dira hukiongoza chama katika kufikia malengo kilio jipangia na malengo mahususi ya Chama chochote makini cha siasa duniani ni kuwaletea wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…