Job Ndugai ni Kiboko ya Nidhamu Bungeni sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job Ndugai ni Kiboko ya Nidhamu Bungeni sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nduka, Jul 29, 2011.

 1. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kwa matukio yanayoendelea bungeni, natamani:-

  1. Mtu kama profesa Baregu anahusika vipi au nafasi yake ipo vipi, ikumbukwe yeye ni mmoja wa wazee wa CDM na ni msomi mahiri wa sayansi ya siasa. Namfahamu binafsi kwa kuwa tuliwahi kufanya naye kazi kama member wa bodi wa taasisi fulani, alikuwa ni msema ukweli, mshauri na mkosoaji mkubwa. Natamani kujua yanayofanywa na akina Lema yanamfurahisha au yanamkaraisha kuwa yeye ni sehemu ya wanachofanya.

  2. Kitila Mkumbo, ni kijana msomi naweza kusema sijawahi kuelewa msimamo wake kwenye jambo lolote, amekuwa kama analinda baadhi ya maslahi yake hivyo misimamo yake inaishia moyoni, hapa JF watu walijaribu kumchimba kuhusu kinachotokea Arusha akaruka futi laki saba. Naamini pia ni sehemu ya washauri wa CDM kwa hiyo yanayoendelea kutokea huko pia yana mkono wake, natamani kujua kama anajisikiaje kuwa sehemu ya haya.

  3. Mzee Mwanakijiji, jamaa ni msemaji wa kile anachokiamini, huwa naamini kuwa hanakuremba kwenye anachokiamini, amewahi kuwapinga CDM na CCM kwa ukali ulio sawa. Naamini yeye sio sehemu ya kinachofanywa huko Dodoma na akina Lema lakini natamani kujua safari hii atawachana akina nani.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huna hoja .... unabwabwaja tuu

  ujinga kitu kibaya sana
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  Natafakari kwanza nitarudi...
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Sorry wewe ni nani? Kitila, Baregu au Mwanakijiji?
   
 5. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  si kauli ya kistaarabu! tafakari kisha chukua hatua.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  endelea na li thread lako lisilo na kichwa wala miguu

  bye
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  usiondoke nitalia, maana hii thread bila wewe haiwezekani.
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uupuzi mtupu- mawazo ya kijini jini!
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Je,kama Kitila mkumbo alikuwa kwenye kamati ya Arusha....unadhani utakuwa unamtendea haki kwa kutaka yeye kueleza chochote kuhusiana na hilo kabla ya chama kupitia kamati kuu hakijamaliza hilo tatizo kulingana na reccomendations za za kamati yake ya huko Arusha?
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hapana kama kuna taratibu za chama zinamzuia kuzungumzia hili basi naamini anatakiwa kuzisimamia hizo na halazimiki kuongelea hilo hapa, ndio maana naishia kutamani tu.
   
 11. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Natamani kusikia wewe unasemaje!
   
 12. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unatumia tumbo kufikiri badala ubongo
   
 13. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wazee natizama bunge sasa,hali ni shwari hakuna vurugu wala kelele na kikao kiko chini ya Job Ndugai-Naibu Spika.Wabunge wanasimama kwa heshima bila kugusa Mic,anawachagua kisha anatoa ruhusa kwa kila mmoja kuuliza ama kuchangia bajeti hii ya Mambo ya Ndani.

  Hakuna kubwata na kwakweli nimeona Tundu Lissu kwa unyenyekevu kasimama N/Spika kamuona na baadae kapewa ruhusa ya kushika Mic.Tundu Lissu si yule ninaemfahamu leo ananidhamu ya juu na Wabunge wote.Mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa hoja nyingi na anazitoa kwa heshima bila kubwabwaja.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu hautapata jibu,ingawa una maswali ya msingi kweli kweli!
  Kila mtu atamtetea aliye wake,wasio na wa kuwatetea watakutukana,pole sana
  usiguse mboni za watu
   
 15. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  heshima ikisimamiwa bungeni wanaoumia ni CCM maana yale mayowe yao hawata piga tena SAFI sana CHADEMA, ccm wamejiingiza kwenye tego bila kujua sasa wataumia wao maana watapaswa kuwa na nidhamu
  hongera CHADEMA kwa mbinu zenye majibu ya moja kwa moja
  mpe mnyika heshima yake wewe jamaa ana hizo unampakazia kwa lipi?+
   
 16. p

  politiki JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  acha ushabiki wako wa ajabu we unaposema anabwabwaja una maana gani ? wabunge wa chadema siku zote wamekuwa wakiheshimu kiti cha spika siyo leo tu mpaka pale kanuni zinapovunjwa kama jana kwa kumruhusu Lukuvi kutoa hotuba wakati wengine hawapati nafasi kama hizo ndipo chadema kwa kutoruhusu kanuni kuvunjwa huku wakiangalia walipoamua kuchukua hatua bila kujali kitachotokea Martin luther king alisema
  "do what is right and be ready to accept the consequence as they come also one should not do things to stay safe "
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Umenena mkuu na nadhani ni vyema pia hao wanaoitwa wafuasi wa CDM JF wakapewa nafasi kutukana ili waimarishe hoja ya nduka, maana pia ni vyema mtu kama profesa Baregu akajua aina ya vijana wanaowaunga mkono.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  kama ndivyo litakuwa ni pigo kubwa kwa wabunge wa CCM maana sasa sijui watakwenda kuzomea wapi! ila kwa wale wazee wa kulala usingizi hii ni fursa adimu, maana sasa watalala kwa raha zao bila kupigiwa kelele na hata ndoto watakuwa wanaota.
   
 19. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  huyu NDUGAI ndio kaharibu kabisa maana wananchi tunawachora tu
  kesho hapige kelele mbunge wa ccm au avunje kanuni hasipotolewa nje
  BAO la kisigino mimi naona kamanda anayeongoza mashambulizi wa CCM kaisha
  mpoteza adui sasa wanavamia tu kila kichaka na kulipua kumbe mengine ni maficho yao wenyewe
   
 20. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Jamani nashukuru wachangia hoja humu ambao wako critical pia kwa wale ambao wao wakisikia CDM wanapanic hapa hatujengi ila tunaimiza utashi wa itikadi za vyama ambapo si lengo. Nadhani si busara kutupa maneno pasipo kufikiri na kujadili mambo kitaalam.Tuwe neutral kumtaja Lissu si chama bali alikuwa victim of circumstance na nimemtumia katika hypothesis testing na result imekuwa positive.So what is wrong here mbona mnanullify mambo.
   
Loading...