Baada ya kuona kundi la watu wapatao 10 wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali nyingi zikewa ni kejeli kwa ccm vijana wanaitwa green brigade waliwavamia watu na kuwanyanganya mabango yao na mengine kuchanwa kama inavyoonekana kwenye picha. Sasa swali ni je ccm inajua misingi ya demokrasia? Kwa hayakuwa matusi kwanini mhe.
Nape asingechukua ushauri aliopewa kupitia mabango. Kwani moja ya bango lliandikwa hivi "hatutaki story za gamba tunataka umeme " tutakaa giza mpaka lini" ccm ilikufa na nyerere