Simon Kisena "alinunua" Era Oil Mill ya NCU Mwanza?

Enigma

Senior Member
Feb 29, 2008
109
62
Hi, dear friends, as we were flying around Lake Zone we found another case involving the mighty Kisena - yes the same Robert Simon Kisena of Simon Group of Dar. He is accused of buying in similar manner (like the UDA purchase) New Era Oil Mill of Mwanza which was part of NCU (for the uninformed- NCU is Nyanza Co-operative Union). Well he was also one of the beneficiaries of the "Stimulus Package" money.

The way things are and as far as we can tell - UDA will ultimately end in his hands after the "government" agree for him to pay the remainder of the purchase price. He will be the new owner of UDA. Sorry he already is. Nothing is going to change that.

Till next time!
 
Thanks for the tip.

Sure, as long as the guy is linked very close to the "state house"- boy, UDA is already in his hands.
 
Who is Simon Kisena? What business he is doing? Is he behind somebody in the government?
 
kikwete stop looting our resources through your partners in crime...you don't have to do what mkapa nad mwinyi did...hapa inaonekana kila rais anafanya kama alivyofanya mtangulizi wake..robbing in broad day light,yes wana hawa usalama wa taifa wanawaambia mkapa aliiba hiki na kile kwa hiyo na yeye anachangamkia..judgement day is coming,that's all we can say for the timebeing
 
What qualified him to be one of the receivers of the "scandalous stimulus package" in first place??
 
The Problem is Our country doesn't have MUSTAKABARI WA TAIFA so any Prezdaaa comes to power has his own agenda and its personal sharing with his family. Sasa look at NCU na ukiangali ilikuwa na branches nying Kanda ya ziwa nakumbuka enzi hizo niko kwao mama Ukerewe kulikuwa na viwanda vikubwa tulikuwa twaviita generi sikuhizi kumekuwa makapi tu.

Hivi hawa viongozi wetu wanafanya kusudi au unataka kuniambia they dont've future plans at all kuwa hiki chatakiwa kuwa hivi wao ni kuuuza tuuuuu kila wakionacho mbele yani hawana mafungu ya kufanya kuborsha viwanda hivyo? wao ni kufilisi na kubinafsisha period
 
Pia alishapata tender ya kuuza vocha za luku tanesco!jamaa ni rostam mdogo
 
What qualified him to be one of the receivers of the "scandalous stimulus package" in first place??

Mfanyabiashara na Mnunuzi wa pamba aliyepata hasara kutokana na global financial crisis? sijui kama kweli alipata hasara hiyo inayodaiwa na sijui alipewa ngapi, lakini ikumbukwe pia ile stimulus package ilitolewa very close na Uchaguzi,...pia kumbuka kuwa wakati wa kampeni za uchaguzi JK aliiahidi kulipa madeni yote ya Nyanza Cop Union?
 
Na kama JK angelipa basi NCU ingejikwamu kidogo kidogo na kuanza upya hiyo ilikuwa danganya toto, Hivi hakuna kipengele cha kumshitaki rais kwa kusema uongo kwa wananchi?
 
kinachonifurahisha na jinsi huyu bwana aliyempiga mitama OCD kule maswa alivyofanikiwa kufika hapa alipo leo. kwa kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. nimefuatilia bungeni hivi sasa jamaa anatajwa! hongera sana! umepiga hatua kubwa. fikiria jamaa alikuwa house boy wa mama mmoja aliyekuwa ofisi za CCm mwanza, akishi Nyamanoro........

mengine tuyaache maana kutoka kwneye U house Boy hadi kufika mahali karibu watanznaia wote wanakujadili huyu Bwana hana tofauti sana na yule mtangazaji gwizi wa CNN aliyeanza kama mfagizi lakini leo yuko juu.

siungi mokono deal chafu, ila jamaa kafanya mabadiliko makubwa sana ya maisha yake!
 
Hi, dear friends, as we were flying around Lake Zone we found another case involving the mighty Kisena - yes the same Robert Simon Kisena of Simon Group of Dar. He is accused of buying in similar manner (like the UDA purchase) New Era Oil Mill of Mwanza which was part of NCU (for the uninformed- NCU is Nyanza Co-operative Union). Well he was also one of the beneficiaries of the "Stimulus Package" money.

The way things are and as far as we can tell - UDA will ultimately end in his hands after the "government" agree for him to pay the remainder of the purchase price. He will be the new owner of UDA. Sorry he already is. Nothing is going to change that.

Till next time!

Just some clarification on New Era Oil mill deal.

Hapo awali Oil mill haikuuzwa kwa Kisena/Simon Agency bali iliuzwa kifisadi na Nyanza Cotton Oil (NCO) ambayo inamilikiwa na Samson.
Ukiangalia majina yalivyo utashangaa NCU na NCO, ndio ujue EPA ni nyingi usipime.

Baadae Kisena na makuwadi wake wakainunua kwa NCO.

Ile Oil mill ina mkopo wa TIB ambao umezama pale, wenye akili walijua kwa nini 40 billion za EPA tulizoambiwa zimerejeshwa Kikwete alizipeleka TIB (kwa Peter Noni)
 
kinachonifurahisha na jinsi huyu bwana aliyempiga mitama OCD kule maswa alivyofanikiwa kufika hapa alipo leo. kwa kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. nimefuatilia bungeni hivi sasa jamaa anatajwa! hongera sana! umepiga hatua kubwa. fikiria jamaa alikuwa house boy wa mama mmoja aliyekuwa ofisi za CCm mwanza, akishi Nyamanoro........

mengine tuyaache maana kutoka kwneye U house Boy hadi kufika mahali karibu watanznaia wote wanakujadili huyu Bwana hana tofauti sana na yule mtangazaji gwizi wa CNN aliyeanza kama mfagizi lakini leo yuko juu.

siungi mokono deal chafu, ila jamaa kafanya mabadiliko makubwa sana ya maisha yake!

Kama ni hivyo basi hana tofauti na Diallo? fuatilia kwa wanaomjua utaaamini kuwa hapa Tanzania kila mtu aweza kuwa bilionea
 
kipengele kipo ndugu we hamasisha uyo kikwete tumuadabishe 2015 kuanzia kura za maoni na wabunge wao wa sisiemu hasa madada wenzangu na kura zao kuteuliwa
 
RIZ1 KUMBUKA UNATAKA SIKU MOJA UWE WAZIRI, AU ..., USIKONDE WATANZANIA AFTER ONE YEAR WANASAHAU. GO R GO R GO. Nawe unajua ndo mpendwa wangu.
 
Back
Top Bottom