BAVICHA Igunga: Hali iko vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAVICHA Igunga: Hali iko vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpiganiahaki, Aug 2, 2011.

1. mpiganiahaki

mpiganiahaki Senior Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Apr 28, 2011
Messages: 153
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
Leo ni siku ya nane toka kuanza harakati za bavicha zikiongozwa na John Heche jimbo la Igunga. Ila toka kuanza kwa harakati hizi hakuna taarifa zozote tulizopewa hadi sasa juu ya hali ya kisiasa jimboni humo, je ni mapokezi ya aina gani makamanda wetu wamepata na wanaendelea kupata vile vile ni mafanikio gani hadi sasa wameyapata kutokana na harakati zao? Jamani mlioko huko Igunga naomba mtujuze hapa hapa jamvini, Heche na wenzako tunahitaji kusikia kutoka kwenu

2. Shinto

Shinto JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Dec 6, 2010
Messages: 1,781
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!

3. JamboJema

JamboJema JF-Expert Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,148
Likes Received: 31
Trophy Points: 145
Kazi kweli kweli. Gazeti gani hilo ulilolisoma?

4. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
wana hali mbaya wanatembelea mkongojo igunga ccm damu damu

5. Y

Yetuwote Senior Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Jul 22, 2010
Messages: 194
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Gazeti gani?

6. Douglas Msele

Douglas Msele Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Feb 17, 2011
Messages: 14
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Gazeti lenyewe ni TAZAMA la leo 2/8/2011. jaribu kulipata ulisome mimi nimelisoma leo kwa mara ya kwanza.

7. M

Mapujds JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Kwa hali ya kawaida na siasa za majitaka za nchi hii mshindi atatoka ccm ama cuf,mimi si mwanacha na mpenzi wa vyama vya siasa ila kazi ni ngumu kwa cdm.tujifunze kupokea machungu kama tunavyopenda kupokea matamu.

8. Kamakabuzi

Kamakabuzi JF-Expert Member

#8
Aug 2, 2011
Joined: Dec 3, 2007
Messages: 1,497
Likes Received: 81
Trophy Points: 145
Hili ni tusi kwa wana Igunga. Slaa alisema RA ni fisadi ikapita miaka miaka mingi, akagombea ubunge 2010 akapata, ccm wamesema ni fisadi, hazikupita siku 90 akajiuzuru. Hivi wa kupeleka ushahidi ni nani? Kama ni kuchukia basi wanapaswa kuichukia zaidi ccm,
Pili, hivi ufisadi wa RA ulikwa unaisaidia Igunga kweli?; kama ni ndiyo, je ni kwa kiwango cha ufisadi ule wa mabilioni?
Mimi nadhani kuna wachache waliokuwa waapata vimisaada toka kwa RA nao ndio waliolia; lakini walio wengi watakuwa tofauti.
Mwisho, waTZ tuache tabia ya kutaka kupewapewa tu, tumpende mbunge atakayejenga hoja ya kutaka tupewe haki zetu. Tunatimiza wajibu wetu wa kulipa kodi, na serikali itimize wajibu wake wa kuleta maendeleo; NACHUKIA SANA NINAPOSIKIA MBUNGE ANAMWAMBIA WAZIRI ..NAOMBA UMEME, NAOMBA BARABARA NK. TENA KWA KUBEMBELEZA. Mbunge unapaswa kudai!

9. Uncle Rukus

Uncle Rukus JF-Expert Member

#9
Aug 2, 2011
Joined: Jun 16, 2010
Messages: 2,430
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
CDM kazi mnayo Igunga.

10. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#10
Aug 2, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Ccm watatoka povu igunga

11. M

Mapujds JF-Expert Member

#11
Aug 2, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Inabidi dr aende kuwatoa tongotongo wanaigunga ili uchaguz ujao wa 2015 cdm ishinde

12. M

Mzee Wa Maono Member

#12
Aug 2, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 52
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
mnamuuliza heche mnakosea, jamaa enu aliondoka zamani tu hapo igunga jana nimemuona mitaa ya mlimani city akinywa konyagi, nasikia alitaka awe msemaji mkuu kwenye mikutano ya igunga, akina benson na tumbo na waitara wakambania akapewa nafasi ya pili kuongea hahaa jamaa akachukia na kudanganya eti anaenda kuitisha press kwa mambo ya issue nyingine, lakini kwa nini cdm mnagombania umaarufu na mnabaniana hivyo? siku moja jamaa aliniambia kuwa yeye hana mshahara kwa hiyo ni lazima cdm imuone na ikubali ziara alizozipanga ili apate nafuu ya life. ..lakini kamati kuu ikapiga chini mipango yake hiyo ya kutaka kulamba miposho hahahaa eti bajeti yake ilikua million 30 kwa mikoa 8 hahaaa! cdm bwana!!

13. m

mkigoma JF-Expert Member

#13
Aug 2, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 1,182
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
chadema hawana chao igunga watalamba mchanga subirini mtanange uanze.

14. Mungi

Mungi JF Gold Member

#14
Aug 2, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180

bila shaka litakuwa gazeti la uhuru.

15. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#15
Aug 2, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,106
Likes Received: 37
Trophy Points: 145

Lete source hapa usiongee hovyohovyo kwa assume mambo after all hayo magazeti ya wana Magamba

16. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#16
Aug 2, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,106
Likes Received: 37
Trophy Points: 145

Muda wenu wa kifo umekaribia wana Magamba endeleeni kushabikia upuuzi

17. k

kibaranchia Member

#17
Aug 2, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 11
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
tazama nalo gazeti?????

18. N

Ndakilawe JF-Expert Member

#18
Aug 2, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 4,084
Likes Received: 1,475
Trophy Points: 280

mwongo wahed wewe... acha uzushi! jamaa yupo imara na hakuna wa kumwingilia katika majukumu yake anayoyapanga na sekretariat yake. kwa taarifa yako anakubalika ile mabaya. wewe utAkuwa gamba ndo maana unataka kuzusha hapa.. umechelewa , coz tushawang'amua wote huku ndani ya JF

19. Duble Chris

Duble Chris JF-Expert Member

#19
Aug 2, 2011
Joined: May 28, 2011
Messages: 3,487
Likes Received: 7
Trophy Points: 135
hivi ni vigazeti vya hovyo hovyo kama alivyo viita SS akiwa Spika wa BUNGE

20. DSN

DSN JF-Expert Member

#20
Aug 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 2,745
Likes Received: 76
Trophy Points: 145
Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.

Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.

Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.

Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.

Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.

Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.

Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.

Loading...