Tunawaombeni sana wabunge wa CCM mufuate style ya CHADEMA kuwapa elimu ya URAIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunawaombeni sana wabunge wa CCM mufuate style ya CHADEMA kuwapa elimu ya URAIA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Aug 3, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sina maana mfuate style ya maandamano, la hasha ...nina maana mtafute approach nzuri ambayo objective yake itakuwa ni kuwajengea uwezo wa utambuzi wa haki na wajibu wao.
  Tafadhali tusipuuze, na mimi nina amini ya kwamba mtanzania yeyote mwenye nia njema na watanzania atapambana kufa na kupona awatoe ndugu zake gizani.
   
Loading...