Kilango amwambia waziri kasema uongo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilango amwambia waziri kasema uongo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mapujds, Aug 1, 2011.

 1. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Leo katika kikao cha bunge cha maswali na majibu mbunge Anna Kilango Malechela amemwambia naibu waziri Agrey Mwanri kuwa kalidanganya bunge wakati akijibu swali kuhusu hali ya maji katika jimbo lake.

  Waziri alijibu akisema kuwa visima vimejengwa katika vijiji ndani ya jimbo lake lakini mama Kilango alikuja juu na kupingana na majibu ya naibu waziri.

  Sasa haya majibu yanayotolewa na mawaziri au manaibu waziri huwa wanayatoa wapi?
   
 2. L

  Lusambara Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami nimejionea mwenyewe na Waziri kasema, Taarifa hizi ameambiwa na mkurungezi wake muda mfupi kabla ya kuingia mjengoni.

  Nashukuru Waziri kakiri kuwa yeye hawezi kupingana na mbunge wa sehemu husika ila baada ya bunge watakwenda wote kujionea uhalisia. Inaonekana MAJIBU YA MJENGONI MENGI NI YA UONGO
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,119
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Walizoea kutembeza bahasha ili kuwaziba wabunge midomo, sasa tumewashtukia hivyo mambo yote ni hadharani
   
 4. Tall Kahigi

  Tall Kahigi Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Haya na mvomero nayo wana bajeti ya 10/11 badala ya 11/12 yaanii full ubabaishaji
   
 5. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu Mama angekuwa ni wa kutoka upinzani LAZIMA angetakiwa atoe uthibitisho kwa maandishi haraka vinginevyo angetolewa nje.Swala la waziri kukiri kwamba hana taarifa zaidi ya mbunge husika lisingekuwepo kabisaa.
   
 6. Lamtongi

  Lamtongi Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajaambiwa athibitishe kwa maandishi kama wanavyoambiwa wabunge wa CDM?
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  yale maswali ya papo kwa papo bungeni kwa mawaziri majibu yake kwa kiasi kukbwa huwa ni uongo........niliamini juzi wakati wa bajeti ya mambo ya ndani......kila swali jibu ni sungura mdogo.......
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Hilo ndiyo tatizo kuu la bunge letu - spika na wenzake wanaongoza bunge ki chama zaidi na si kama taasisi huru ya kitaifa ya kutunga sheria.
   
 9. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  angekuwa CDM angeombwa uthibitisho
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Kilaza Lukuvi hakuomba mwongozo wa bibi Kiroboto?
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Hahhaaaaaaaa kumbe bahasha ilikua na nafasi yake eehhh
   
 12. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  ingekwa Chadema angeambiwa thibitisha!!!
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mama kathibitisha kabisa kwamba n/waziri kasema uongo kwa kutoa miradi miwili, mmoja ulifadhiliwa na watu kutoka uarabuni na yeye mwenyewe Kilango akaweka umeme but serikali ikasema maji hayafai kwa matumizi ya binadamu.mimi najiuliza hivi hakuna upembuzi yakinifu unaofanywa ilikujua kama sehem hii maji yake yanafaa na si kungojea mpaka mradi unakamilika then unakataliwa, huu si upotevu wa fedha za wafadhili?
   
 14. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Waziri anapokiri kusema uongo nini kinampata au anachukuliwa hatua gani, NAOMBA MUONGOZO
   
 15. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Asinge weza kuomba kwa sababu n/waziri kakiri kuwa taarifa alizopewa na mkurugenzi zinaweza kuwa si za kweli,ila ameomba waongozane na mbunge kwenda kuangalia hiyo miradi.jamaa kaonesha ukomavu kwa kukiri kudanganya na hii inatokana na kupewa taarifa za uongo na watendaji wake.
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,183
  Likes Received: 1,183
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />hayo maji yana nini?
   
 17. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Maji yana sumu na nihatari kwa afya.
   
 18. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu Bunge hili la 10 lianze chini ya mama kiroboto ni Mawaziri wangapi wamesema uongo ndani ya Bunge. Hii inadhihirisha kabisa hata Waziri mkuu hulidanganya Bunge kwenye maswali ya papo kwa papo. Hakuna haja kabisa ya kuwa na hicho kipindi. Kimeanzishwa na Wabunge wa magamba ili Waziri Mkuu aonekane yuko bize Bungeni- majibu yake huwa hayana mshiko kabisa. Hutoa majibu mepesi kama mlenda hata diwani makini anaweza kujibu maswali hayo.
   
 19. M

  Mindi JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Saafi kabisa, mtiririko ulioueleza ni mzuri kabisa kimantiki. tatizo ni kwamba, mtiririko kama huo hauwahusu wabunge wa "upinzani". ajenda ya ccm ni kuwafanya wabunge wa "upinzani" waonekane watu wa vurugu, kuwazima kabisa wasijenge hoja zao, au wasifike mbali. kimsingi nadhani huu ni mkakati wa ccm kufuatia ukweli kwamba upande wa upinzani bungeni umekuja na bundiki nyingi na hivyo waliona wajipange kuwadhibiti ili ku-mitigate hasara watakayopata. kwa upande mmoja inakilinda chama cha ccm, lakini kwa upande mwingine wanajiweka kwenye mtego. upinzani wakijizatiti vizuri wanaweza kutumia nafasi hiyo kuwavua nguo ccm mbele ya wananchi
   
 20. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Mawaziri waongo huteuliwa na rais muongo.
   
Loading...