Tanzania itapata maendeleo ya kweli CCM ikiondoka madarakani au kuwepo kwa sera za maendeleo kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania itapata maendeleo ya kweli CCM ikiondoka madarakani au kuwepo kwa sera za maendeleo kitaifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 3, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna maoni kuwa CCM ndio inakwamisha maendeleo ya kweli ya Tanzania, sababu ni kuwa kutokutokana na kutakuwepo kwa sera ya taifa ya maendeleo kila kiongozi anakuja na utaratibu wake wa maendeleo ambao huzaa ufisadi.Tukuchue mfano wa kila mke wa Rais kuja na NGO yake, je hii ni sahihi? Kila Chama kuja na Sera zake wakati wa uchagizi bila kuwepo sera za kitaifa ni sawa?
   
Loading...