Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF nimezunguka toka asubuhi natafuta mafuta kila kituo nilichofika naambiwa mafuta hakuna ,pump mbovu na kwingine wahudumu hakuna adi gari imenizimikia njiana. nimetembea kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FROM: FATHER TO: ALL DE PENDANTS AND RELATIVES CC: MOTHER DATE: TODAY ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES Due to the current economic situation, all domestic...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
• Wabunge waikataa bajeti ya Uchukuzi na Salehe Mohamed, Dodoma KWA mara nyingine, ndani ya wiki mbili wabunge wameikatalia serikali kupitisha bajeti yake. Baada ya kuikataa bajeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Club ya Simba na Mbunge wa Tabora Mjini anasema Nchi hii tunaitafuna wenyewe siku tukiimaliza tutafunana wenyewe. Anashangazwa na utajiri wa Wafanyakazi wa Serikali kumilki Geust...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa chadema Dr W.P.Slaa amesema katu asilani serikali ikome kutisha watu. Slaa amesema kitendo cha jaji Werema mwanasheria mkuu wa serikali kusema wanatunga sheria kudhibiti maandamano...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Vurugu, visa vimetawala kwenye vituo vichache vinavyouza mafuta leo hii, baada ya kutangaza mgomo baridi wa kujifanya mafuta yameisha ili kupingana na bei elelekezi ya EWURA na CCM baada ya kikao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa hayo matukio ya kifisadi yanayotokea hapa nchini na wananchi pamoja na viongozi tuko kimya tu nasema watanzania tumelaaniwa na hatuna akili timamu! 1. Mtu mmoja anaiba trilioni 3 watanzania...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Wana JF, kwa muda mrefu kumekuwa na maelezo yanayokinzana, hasa kuhusiana na uadilifu na uwezo wa uchapakazi wa Lowassa kwa kipindi cha utumishi wake kwa nchi hii, na hasa katika nafasi za uwaziri...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Wajameni nimelazimika kuingia jukwaani jioni hii na kuleta msimamo wangu kwa mujibu wa mambo yanavyoendelea siku kwa siku ili yatakapotokea makubwa zaidi ifahamike wazi nani kichocheo kikuu cha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ma ECO IMPERIALISTS waliompiga mkwara JK mpaka tukashindwa kujenga bara barara to name a few ni hawa: 1. http://www.awf.org/section/about/contactusy: <a...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Tatizo la uhaba wa umeme linasukuma kushuka kwa uzalishaji wa ndani na kusababisha upotevu wa ajira. Hali hii inaweza kusababisha machafuko ya kijamii kama haitapatiwa ufumbuzi wa haraka. Wakati...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajamii, Moja ya matatizo makubwa sana yaliyokua yanatusumbua hata wakazi wa mijini ni upatikanaji wa maji... Matatizo yali-range from mifumo, sources, usafi wa maji, mfumo wa malipo na hata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukienda Bungeni sifa ya waheshimiwa pale Bungeni ni jimbo la uchaguzi walilojiandikisha na wala siyo mahali ambapo wanaishi.....matokeo yake asilimia zaidi ya tisini ya wabunge wetu ni wakaazi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo yanayoedelea ndani ya chama tawala CCM hayana tija kwa nchi Bali kwa watawala na mafisadi.Hili limedhihilika kwa hatima ya kikao kilichopita cha kamati kuu ambapo moja ya ajeda muhimu ilikua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali...
0 Reactions
185 Replies
15K Views
Hivi Hatuwezi kufanya haya mambo wenyewe? Ujenzi wa Uchumi, uendeshaji wa huduma za jamii kama reli, ndege n.k. Kweli kweli hatuwezi sisi wenyewe kuwezeshana tukaewndesha haya makampuni? Hata kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, kuna huyu mzee Kingunge Ngombale Mwiru ambaye amekuwa mtu muhimu sana katika siasa na sera mbali mbali za Tanzanai tangu enzi za Mwalimu Nyerere mpaka sasa. Huyu mtu alijulikana kama...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
huyu Mama Rita mlaki yuko kwenye ndoto za serikali ya awamu ya tatu, eti anasema sio issue bilioni ngapi zimetengwa kwa ajili ya reli na mambo kama hayo, cha muhimu ni mipango mizuri ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania to pay security over ICC award SEBASTIAN PERRYMONDAY, 01 AUGUST 2011 The High Court in London has agreed to adjourn enforcement proceedings against Tanzanian state power utilityTanesco...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msajili wa vyama vya siasa ametoa tahadhari kwa vya vinavyokusudia kugombea jimbo la igunga kuwa hivi sasa igunga kuna njaa kwa hiyo wasije wakapeleka chakula cha msaada bila kufuata utaratibu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…