huyu Mama Rita mlaki yuko kwenye ndoto za serikali ya awamu ya tatu, eti anasema sio issue bilioni ngapi zimetengwa kwa ajili ya reli na mambo kama hayo, cha muhimu ni mipango mizuri ambayo serikali ya awamu ya nne inayo, eti makosa yalifanyika huko nyuma lakini sasa wanajipanga vizuri na hilo ndio la muhimu, Jamani huyu mama vipi?