Yanayotendeka ndani ya CCM hayana tija kwa nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayotendeka ndani ya CCM hayana tija kwa nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Aug 4, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mambo yanayoedelea ndani ya chama tawala CCM hayana tija kwa nchi Bali kwa watawala na mafisadi.Hili limedhihilika kwa hatima ya kikao kilichopita cha kamati kuu ambapo moja ya ajeda muhimu ilikua hitimisho ya zoezi la Kijivua gamba.Chakushangaza ni kua mahamuzi kuhusiana na swala hilo hakuna na hakuna Kiongozi yeyote wa CCM anaeweza kulitolea maelezo mbali na porojo za kuongezeana muda wa Kijivua gamba.Hili naweza kulifananisha na tukio ambapo mwizi kakuingilia nyumbani kwako badala ya kumkamata unasema nafumba macho nikifungua uwe umeisha toweka.Hapa imedhihilisha yakua dhana ya. Kijivua gamba ilikua ni usanii wa CCM na changa la macho.Katika vikao vyao wanachojadili ni ni kulinda maslahi Yao na si taifa INATIA KICHEFUCHEFU!!MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
Loading...