Hii ni aibu kwelikweli, Tanzania kila kitu lazima mbia wa nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni aibu kwelikweli, Tanzania kila kitu lazima mbia wa nje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Profesa, Aug 4, 2011.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Hivi Hatuwezi kufanya haya mambo wenyewe? Ujenzi wa Uchumi, uendeshaji wa huduma za jamii kama reli, ndege n.k. Kweli kweli hatuwezi sisi wenyewe kuwezeshana tukaewndesha haya makampuni? Hata kwa Njia ya kuuza Hisa kwa wananchi kuwekeza, maana mzawa akinunua hisa za kutosha anakuwa na voting power na ku be part possibly ya bodi ya kampuni husika. Au hata basi tuwezeshane mikopo basi maana leo hii wengi kabisa ninaamini wana upeo mkubwa.

  Chondechonde huu ukoloni mamboleo unaokumbatiiwa na wanasiasa wetu nio mbaya saaana mi siamini pale chuo kikuu hakuna wataalamu... kama hatuna kwa nini tusi invest kenye chuo tukawa na watu wetu wazuri ili hata hawa wanje wakija wasituchakachue? inauma
   
Loading...