Waliozuia Serengeti hawa hapa (Video)

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Ma ECO IMPERIALISTS waliompiga mkwara JK mpaka tukashindwa kujenga bara barara to name a few ni hawa:

1. http://www.awf.org/section/about/contactusy:

<a href="http://www.awf.org/content/heartland/detail/1283"><a href="http://www.awf.org/section/about/contactus">

Lakini mkitaka kuenjoy tazameni hii documentary:

CONSERVATIONS DITY SECRETS

[URL]http://www.youtube.com/watch?v=SUwYZSwSLY0]AWF: Protecting Land: Kilimanjaro Heartland

[/URL][/URL]
 
Last edited by a moderator:
Hiyo video haipatikani hapa nilipo, ila nilifahamu tangu mwanzo kuwa kulikuwa na mchezo mchafu sana dhidi ya Tanzania
 
Mbaya zaidi mpaka akina Invisible na JF wametumiwa kuleta only one side of the eco terrorists badala ya kusikiliza na kuwapa nafasi ambao waliokuwa wanaitaka hii bara bara
 
kwanini wewe hukuleta upande wa pili na wewe si sehemu ya JF? Wengine tulikaa kimya kwa sababu jambo kama hilo lisingetokea wakati wa Baba wa Taifa. Hawa watawala wetu hawakuwa na uwezo wa kujenga hoja na kushinda mbele ya wale wale wanaowakingia mikono? How could they? Binafsi imethibitisha how weak our government actuallyl is? Fikiria kwenye kudai hela za rada wamemtuma hadi naibu spika, kwenye hili la Barabara nani alitumwa kwenda kuwagomea hawa eco-fanatics?
 
--nimeiangalia hii video( http://youtu.be/SUwYZSwSLY0 )mwanzo mpaka mwisho sijaona sehemu inayo pinga conservation, ila ina pinga WWF wanapojiusisha na consevation huku wakiwa na hiden agenda pamoja na kukiuka haki za binadamu.

>>>DK 5 za mwisho za hii video zinaamasisha conservation na itakuwa na manufaa zaidi kama watakao fanya hivyo ni local people ina kuwa most likely kuwa successfully na manufaa yake au mapato yake yanasaidia locally. kuliko kuwa husisha hawa watu WWF maana wanaoneka kuwa wasaka pesa tu isitoshe waharibifu wa mazingira.

hii video inapinga na huo mpango wa kujenga BARABARA ya serengeti kuliko kuutetea. kama nilivyosema dk 5 za mwisho imekuwa concluded vizuri sana wakuu
hakuna haja ya kulazimisha mambo ni wazi utalii una manufaa kwa wananchi tupunguze tu ya mashirika ya kigeni kwenye utalii na utunzaji wa mazingira, hii kitu bado inasisiteiza kutunza mazingira sio kula yapalaganyisha
 
kwanini wewe hukuleta upande wa pili na wewe si sehemu ya JF? Wengine tulikaa kimya kwa sababu jambo kama hilo lisingetokea wakati wa Baba wa Taifa. Hawa watawala wetu hawakuwa na uwezo wa kujenga hoja na kushinda mbele ya wale wale wanaowakingia mikono? How could they? Binafsi imethibitisha how weak our government actuallyl is? Fikiria kwenye kudai hela za rada wamemtuma hadi naibu spika, kwenye hili la Barabara nani alitumwa kwenda kuwagomea hawa eco-fanatics?

maneno yako mazima kaka
 
Mwanakijiji said:

Mwanakijiji,

..hawakuwa na hoja za msingi hata mara moja.

..Raisi aliulizwa akajibu tumuamini tu kwasababu anaipenda Serengeti na huenda lkupumzika huko mara kwa mara.

..zaidi akadai Tanzania tuna historia nzuri ktk uhifadhi wa wanyamapori na maliasili. lakini ukiangalia hiyo ni sifa ya tawala zilizopita, huu utawala wa sasa unapaswa ku-act in a way that is deserving of that recognition.

..Dr.Bilali naye alipoapishwa haikumchukua hata miezi 3 kazini akaenda kutembelea Serengeti labda ilikuwa maandalizi ya kujibu hoja hiyo.

..kwa kifupi, WB na serikali ya Ujerumani wamekuja na mpango ambao unaelekea kuwa utahifadhi mazingira na mandhari ya Serengeti, pamoja na kuwafikia wananchi/walengwa wengi zaidi.

NB:

..kitu kingine kinachokosekana kwa upande wa wanaotetea hoja ya Kikwete ni NIDHAMU.

..wametumia muda mwingi kurusha VIJEMBE badala ya kuelezea FAIDA za mradi huo, na jinsi gani utahifadhi MAZINGIRA na MANDHARI ya Serengeti in years to come.
 
kwanini wewe hukuleta upande wa pili na wewe si sehemu ya JF? Wengine tulikaa kimya kwa sababu jambo kama hilo lisingetokea wakati wa Baba wa Taifa. Hawa watawala wetu hawakuwa na uwezo wa kujenga hoja na kushinda mbele ya wale wale wanaowakingia mikono? How could they? Binafsi imethibitisha how weak our government actuallyl is? Fikiria kwenye kudai hela za rada wamemtuma hadi naibu spika, kwenye hili la Barabara nani alitumwa kwenda kuwagomea hawa eco-fanatics?

Hapana, mimi nilipiga kelele sana mpaka nikaleta ushahidi kuwa mbuga za Keystone huko Marekani zinazotanda kati ya majimbo ya Montana, Wyoming na Idaho zina barabara ndefu sana za lami lakini wanyama hawajahi kuhama, na bado mbuga hizo zinahesabiwa kama ni World Heritage. Mimi ni mwanasayansi niliyeiva vywa kutosha, kwa hiyo huwa ninaamini sana matokeo ya kisayansi kuliko kitu chochote kile. Wapiga debe wote waliokuwa wakipinga, hakuna hata mmoja wao aliyewahi kuleta data za kisayansi zaidi ya speculations na conjectures tu.

Ningekubaliana nao kama mpango ulikuwa ni kujenga hoteli au makazi ya binadamu, lakini barabara inayopita nonstop kama ambavyo ilivyo barabara inayopita humo humo Serengeti kwenda Mugumu (ambayo imekuwapo kwa takriban miaka hamsini) ni madai ya kitoto ambayo eti serikali yetu ya walala hoi imenywea. Ile barabara ya lami kutoka Mwanza kwenda Bunda inapita mbugani ingawa ni nje ya mpaka official. Kila siku kuna wanyama wengi sana wanacross barabara ile kwenda kunywa maji Ziwa Victoria na wala hawajaacha kufanya hivyo pamoja na kuwa magari yanapita pale kila siku.

Kwa vile jamaa wanataka kujenga barabara nyingine siwezi kulalamika sana iwapo barabara hiyo mpya haitaongeza umbali mrefu sana. Pale
 
Hivi kweli Serikali yetu iki surrender juu ya ujenzi huo wa barabara du nitawachukia kwa hili.Tufike hatua sisi tubaki kuwa sisi na tuheshimiwe kwa maamuzi yetu.Jirani yetu asitupangie leo tuvae nguo gani ya ndani kisa anataka tuvae itakayomfurahisha yeye na watoto wake.

Tufanye maamuzi kwa kuzingatia faida ya Watanzania mbele,na haya mambo ya kuwanyenyekea mataifa mengine tumeanza lini?.Natamani Nchi yangu iludi zama za Mwalimu JK kuheshimiwa na mataifa madogo kwa makubwa, na si kunyenyekewa au kunyenyekea mataifa hayo.

Kama kweli angekuwepo Mwalimu Julius K Nyerere hakika jamani huyo ambae angethubutu [dare] kujenga hoja hiyo ya kuzuia ujenzi wa barabara hiyoi,hoja ambayo Mwalimu angemsambalatisha nayo na hakika ingekuwa na sentensi mbili zenye maneno yafuatayo "Barabara hiyo ni kwa faida ya Watanzania ndio maana Serengeti Mungu akaiweka Tanzania nasi Kenya wala Marekani, wao pia wanaserengeti zao kwa majina ya kikwao huko kwao na wala si Saudia Arabia au Congo ambako si kwao".
,mhusika angetafakari maisha yake yote.
 
Mimi nilikuwa na mashaka makubwa sana kama serikali yetu ya sasa ilikuwa imekusudia kwa dhati kujenga barabara hiyo.

Na niliwatahadharisha sana ndugu zangu kujiepusha na ahadi za kikwete na ccm yake kwamba watajenga barabara hiyo wakati ukweli ni kwamba kulikuwa na upinzani mkubwa sana toka kwa wafadhili wa serikali ya kikwete kuhusu ujenzi wa barabara hiyo.

Kibaya zaidi ccm waliigeuza agenda ya ujenzi wa barabara kwamba wachaga na chadema ndio wanapinga ujenzi wa barabar hiyo, na iliwasaidia kufikia malengo yao kisiasa huku wakijua kabisa hawana uhakika wa kujenga barabara hiyo na wala wachaga na chadema hawakuwa na agenda ya kupinga ujenzi wa barabara hiyo.

Sasa kazi kwa wanaserengeti, barabara ndiyo hiyoooo imepeperuka na tusubiri uchaguzi mwingine ili tuahidiwe kujengewa barabara hiyo hiyo!!

Kwakweli katika hili serikali yetu imeoinyesha kiwango cha juu cha ulegevu mbele ya hawa wazungu. Yani kiongozi mkuu wa nchi unashindwa kusimamia matakwa na maslahi ya wananchi wako na nchi yako unawaachia wageni wakupangie nini cha kufanya ili kuboresha maisha na ustawi wa familia yako?? hii inawezekana tu Tanzania tena chini ya serikali ya ccm ya kikwete!! Ni aibu kubwa kwa serikali hii, imewahadaa watanzania hususan wanaserengeti,na katika hili ccm na serikali yake wamedhihirisha kabisa pasipo shaka kwamba wao ndio wanaopinga mpango wa ujenzi wa barabara hiyo na kwa maana hiyo wao ndio kikwazo cha maendeleo kwa wanaserengeti na wanamara kwa ujumla wake, tunasubiri utetezi wenu!!
 
kuhusu barabara ya Mza - Bunda, nadhani kuna tatizo pale Lamadi na Bunda. Mimi sio ecologist lakini kwa mealezo ya wanaoijua vizuri Serengeti na Ngorongoro wanadai inalink na ziwa Victoria na hata ile wetland iliyopo Ngorongoro creater wanasema 'ni mkondo' wa ziwa Nyanza. Ukiangalia wanyama wako upande wa pili wa barabara kwa vile upande wa ziwa kuna shughuli nyingi (kama makazi, factory ...vile) na kasi ya magari ni dhahiri inazuia wanyama kulifikia ziwa kirahisi na labda wale wanaoweza kufika ni wanyama 'majasiri' tu.
Ningekubaliana nao kama mpango ulikuwa ni kujenga hoteli au makazi ya binadamu, lakini barabara inayopita nonstop kama ambavyo ilivyo barabara inayopita humo humo Serengeti kwenda Mugumu (ambayo imekuwapo kwa takriban miaka hamsini) ni madai ya kitoto ambayo eti serikali yetu ya walala hoi imenywea. Ile barabara ya lami kutoka Mwanza kwenda Bunda inapita mbugani ingawa ni nje ya mpaka official. Kila siku kuna wanyama wengi sana wanacross barabara ile kwenda kunywa maji Ziwa Victoria na wala hawajaacha kufanya hivyo pamoja na kuwa magari yanapita pale kila siku.

Kwa vile jamaa wanataka kujenga barabara nyingine siwezi kulalamika sana iwapo barabara hiyo mpya haitaongeza umbali mrefu sana. Pale
 
Tutasema mengi na kudanganyana. Serikal haikuwa na lengo la kujenga barabara hiyo kwa kujua vipingamizi na udhaifu wao wa kusimamia hoja zao wenyewe. Haya wameshindwa kujenga hiyo, lakn kuna nyingi ambazo toka uhuru hazjui lami, watumie mipango hiyo na fedha walizozianda kufufua reli ya kati. Reli ya kati tu. Kama ilikuwa kweli, wafufue reli ya kati ambayo wao waliiua kwa maksudi. Watumie fedha hiyo kuifufua reli yangu ya kati na steshen zake ambazo mama zetu walikuwa wakiuza vyakula hadi wengine tukapata elimu. Sasa ivi hakuna. Nataka reli ya kati.
 
Shame upon you Presdent Jakaya Mrisho Kikwete, Rais mzima wa nchi ambaye matumaini ya watanzania wote yako kwako na umepewa nguvu zote za kisheria. Tutawezaje kukuamini tena utakaposimama jukwaani kutuambia kuwa utafanya hiki na kile wakati kusimamia utekelezaji wa ahadi yako uliyotoa wewe mwenyewe umeshindwa? where is your seriousness when it comes to issues of national interest? Kwa nini hapa ndo usingesema kwamba hata kama ni kula majani bora tule lakini barabara tutajenga. Kwa nini wazungu ndo wanakuwa na nguvu juu ya uamuzi wako? Laiti kama ungejua kuwa hiyo ndo legancy ambayo ungekumbukwa kwayo kwa hakika ungereverse hayo maamuzi ya kutojenga hiyo barabara. "I would rather die poor rather than shying away from my own promise" mbaya zaidi a presdent's promise.
 
ndio maana lowasa aliwaambia wafanye maamuzi na sio kuogopa....jk akafyata fast
 
Hivi kweli Serikali yetu iki surrender juu ya ujenzi huo wa barabara du nitawachukia kwa hili.Tufike hatua sisi tubaki kuwa sisi na tuheshimiwe kwa maamuzi yetu.Jirani yetu asitupangie leo tuvae nguo gani ya ndani kisa anataka tuvae itakayomfurahisha yeye na watoto wake.

Tufanye maamuzi kwa kuzingatia faida ya Watanzania mbele,na haya mambo ya kuwanyenyekea mataifa mengine tumeanza lini?.Natamani Nchi yangu iludi zama za Mwalimu JK kuheshimiwa na mataifa madogo kwa makubwa, na si kunyenyekewa au kunyenyekea mataifa hayo.

Kama kweli angekuwepo Mwalimu Julius K Nyerere hakika jamani huyo ambae angethubutu [dare] kujenga hoja hiyo ya kuzuia ujenzi wa barabara hiyoi,hoja ambayo Mwalimu angemsambalatisha nayo na hakika ingekuwa na sentensi mbili zenye maneno yafuatayo "Barabara hiyo ni kwa faida ya Watanzania ndio maana Serengeti Mungu akaiweka Tanzania nasi Kenya wala Marekani, wao pia wanaserengeti zao kwa majina ya kikwao huko kwao na wala si Saudia Arabia au Congo ambako si kwao".
,mhusika angetafakari maisha yake yote.

The survival of our wildlife is a matter of grave concern to us all in Africa…In accepting the trusteeship of our wildlife, we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure our children’s grandchildren will be able to enjoy this rich and precious inheritance,”
JKN[/B]
 
Back
Top Bottom