Dr Slaa aijibu serikali kuhusu maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa aijibu serikali kuhusu maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Aug 3, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Katibu mkuu wa chadema Dr W.P.Slaa amesema katu asilani serikali ikome kutisha watu.

  Slaa amesema kitendo cha jaji Werema mwanasheria mkuu wa serikali kusema wanatunga sheria kudhibiti maandamano hakiwezi kuvumiliwa.

  Dr Slaa amesema ni dhahiri sheria hiyo inatungwa kuidhibiti CHADEMA.

  Dr Slaa amesema badala ya kukimbilia kutunga sheria dhalimu kuidhibiti CHADEMA ni vema wakatumia njia bora zaidi kudhibiti nguvu za CHADEMA kwa kushusha bei za vyakula, kupunguza bei za vifaa vya ujenzi,kupunguza mfumuko wa bei, kutatua tatizo sugu la umeme nk.

  Source: Dr Slaa alikuwa anahojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC jana jioni.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  If the government is sick of demonstrations, then it has to act responsibly to stubborn puzzles facing the normal citizens.
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kudos Werema!
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wamebanwa kila kona CCM mpaka wanatumia vyombo huruvya serikali kuibana CDm, hiyo effort wangeilikeza kwenye kutafuta solution ya matatizo yanayotukabili tungekuwa tumeshafika mbali kimaendeleo,
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Demonstrations is the language of expressing the voices of the marginalized people...and that is popular democracy which is being manifested through those demonstrations!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,469
  Likes Received: 19,854
  Trophy Points: 280
  ccm inakuharibu wewe mtoto
   
 7. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni wajibu wa serikali kulinda watu na mali.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hawa magamba ni wauaji wakubwa wameona njia ya kudai haki yetu ni kupitia maandamano na wanajua kbs uchafu na uonevu wao wanaoufanya unajulikana dunia nzima kupitia maandamano ya wananch kupitia cdm sasa wanatunga sheria ya kudhibiti maandamano, hii ni mbinu nyngn ya mwendelezo wa ukandamizaji, na ni wazi kbs TANZANIA BILA MAANDAMANO HAKUNA HAKI sasa TUFANYE NINI ILI KUDAI HAKI ZETU?
   
 9. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Watunge sheria ya kuwadhibiti mafisadi adui wa ccm ni ufisadi si cdm wakikumbuka kuachana na kukumbatia ufisadi watapona tatizo ccm&ufisadi ni sawa na samaki na maji nivigum kuachana na ufisadi nahili halina mjadara ccm nirazima ife
   
 10. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi ninyi magwanda hamna njia nyingine ya kufanya siasa mpaka maandamano au mnataka watu wafe ndio mwende ikulu kwa kukanyaga damu za watu, kama mlivyofanya Arusha.
   
 11. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tutaona mengi tu yakifanywa na CCM, lakini mwisho wake watanyosha mikono wenyewe
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi maandamano ya amani ni kifo? Kweli kwa sehemu kubwa bado bongo za baadhi yetu zimeganda kama damu ilovia! Hivi AG nimwanasiasa wa Magamba kumbe...!
   
 13. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  you sound 'dumb' more than your avatar looks!
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Rejao maana yake nini? kuna mtu kaniambia eti ni Msalani
   
 15. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Try it!
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mattaka ni mwanachama wa ccm, hao ni sehemu ya vijana wake kwenye mambo yale ya kuwaDefao.
   
 17. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ccm inaumwa ugonjwa wa nambulila-Mchungaji Christopher Mtikila wa DP
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,661
  Trophy Points: 280
  We ni mgonjwa wa akiri?
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  PUNGA, kumbe ndiyo maana.
   
 20. m

  marembo JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maandamano ni haki ya kila mtu hasa wanyonge baada ya kukosa mahali pa watawala kusikia kilio chao. Dk (wa kweli) Slaa hajamumunya juu ya hili na wote wanafahamu vyema ujumbe unaotumwa na maandamano haya.

  Kama siyo maandamano na kudai haki wabunge wengi wa CDM wasingekuwa bungeni. Dhana ya maandamano imeingia vichwani kwa watawala hivyo kuweweseka kila wakiyasikia. Hata vijembe vyao havitaondoa wanyonge katikamstari wa kusonga mbele. Tumemsikia hata Magufuli jana akijibu swali juu ya matuta barabarani alitia kijembe juu ya maandamano kwani aliyeuliza sawli ni Mhe Susan Lyimo (Chadema).

  Kwa kuwa kila wanaoongea wanazongwa na maandamano haya sisi tunasema ujumbe umefika mahali pake (Message seny/delivered). Aluta Continua. Wacovu wa kupigania haki wapishe wimbi lipite.
   
Loading...