Msajili wa vyama vya siasa atoa onyo kwa vya vinavyokusudia kugombea Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msajili wa vyama vya siasa atoa onyo kwa vya vinavyokusudia kugombea Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by janja pwani, Aug 3, 2011.

 1. j

  janja pwani Senior Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msajili wa vyama vya siasa ametoa tahadhari kwa vya vinavyokusudia kugombea jimbo la igunga kuwa hivi sasa igunga kuna njaa kwa hiyo wasije wakapeleka chakula cha msaada bila kufuata utaratibu, anasema chakula chote cha msaada ni lazima kipitie ofisi ya waziri mkuu, vinginevyo chama kinaweza kupoteza sifa ya kusimamisha mgombea. chanzo taarifa ya habari tbc.
   
 2. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mmmmh!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,706
  Trophy Points: 280
  Naye hotuba zake anajihami tu!
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ameanza kazi aliyotumwa na Fisadi Papa Kikwete, Magamba @ work kila sehemu wapo na utawajua tu kwa tabia zao hawajifichi kama M/kiti wa Bunge
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  anamaanisha ccm huyo, lakini kwa maneno tu.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  ccm kwisha igunga
   
 7. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama chakula kikipelekwa kupitia ofisi ya WM kitakuwa kimeenda kufanya kampeni ya CCM. Sijui itawezekanaje kuvuka kikwazo hiki cha kutoa rushwa ya chakula. Maana CCM hawawezi kufan ya kampeni yoyote bila kugawa rushwa, kununua shahada, kubebwa na polisi, viongozi wa sderikali na tume na hatimaye kuiba kura.
   
 8. D

  Dundei kinabo Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tendwa hana jipya keshazeeka.hana uzalendo ni gamba tu ka magamba wengine.
   
 9. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  anakula jani yule
   
Loading...