Uko wapi uwajibikaji??

MAJA2011

New Member
Aug 5, 2011
3
0
Hali mbaya na Matatizo yote ambayo wananchi wanayapata kwa sasa ni haki ya msingi.Hii ni kutokana na kutokuweka utaratibu(kikatiba na kisheria) kwa tunaowapa nafasi katika taasisi za uma kuwajibika na wakishindwa kufanya hivyo sisi wananchi tuwawajibishe.Tujadiliane na tuwe na muafaka wa kututoa hapa tulipo na kuuendelea mbele wa pamoja juu ya kuweka njia za kuwawajibisha viongozi na wataalamu tuliowaamini na kuwapa nafasi za utendaji katika taasisi za uma.NAWASILISHA KWENU.
 
Back
Top Bottom