Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by regam, Aug 10, 2011.

 1. regam

  regam JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninatokea kibamba kuelekea town. Vituo vyooote havijafunguliwa.

  Hivi ule mkwara wa Ngeleja ulikuwa geresha tuuuuuu? Aaaaagh!

   
 2. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Ndugu yangu, siku hizi hakuna Authority. Bunge halina nguvu, watu wanapiga kelele pale, lakini inakuwa kama kelele za kijiweni ambazo hazina impact.

  Usishangae masaa 24 yakiisha, jamaa hawajauza mafuta na wasichukuliwe hatua yoyote, sanasana wataanza kuwabembeleza kwa kuwaita wajadiliane mezani.

  Miaka 4 iliyobaki ni kama miaka 100
   
 3. K

  Kanda ya Ziwa Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  duh, nadhani solution in tahiriri square tu. La sivyo watz tuhesabu maumivu!
   
 4. H

  Hegelyakoni Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tumwombeeni rais jamani naona mambo yake siyo, amezongwa
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nataka waendelee kugoma nione watachukuliwa hatua gani, hii nchi bana.
   
 6. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jamani tuanje vp kuandamana? Tupange vp, plse toeni mawazo.
   
 7. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hivi CHADEMA wapo wapi muda kama huu?me sielewi kwann hawajaanda maandamano mpk saivi, zaidi ya siku 7? Au wao maandamano wanaandaa kma wakiwa wanataka madaraka tu?

  Suala la Jairo wapo kimya suala la mafuta wapo kimya,jaman mananiangusha chadema,andaeni maandamano jmn tuwashinikize hawa wahuni watoke madarakani,imefika muda tuwe kama watu wa london kwa kuchoma hivi vituo vya mafuta na mali za mafisdi pai
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Serikali ya ccm haiwezi kuwagusa wafadhiri wa chama chao lasivyo makubwa zaidi yatafumuka na watakuwa uchi wa mnyama. Kama wangekuwa watu wakawaida, mbona tamko la EWURA lilikuwa linatosha? kULIKUWA NA HAJA GANI WAZIRI KUTOA TAMKO LA PILI WAKATI TAASISI ILIYO CHINI YAKE ILISHATOA TAMKO KAMA HILO NA HALIKUTEKELEZWA?

  Nadhani pia kwa mjibu wa ngereja, solution yao ni kuwapa lesseni sijui COPEC wafanye biashara hiyo wakati walikuwa wamekalia maamuzi haya kwa miaka minne sasa. Hii inaonyesha wafanyabiashara hawa wana nguvu na ndiyo wenye maamuzi ya nani apewe leseni ya biashara ya mafuta. Kama ndivyo inategemea COPeC watapata wapi hela ya harakaharaka ya kuleta mafuta wakati watoaji wa hiyo hela ni viongozi walewale ambao ndiyo wenye makampuni yaliyogoma?

  Hapa kuna sinema fulani tusubiri kwa kuwa sisi ni wapole na wanyenyekevu wa moyo mapaka itakapoisha.
   
 9. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Tatizo anyeuza mafuta yaani mwenye depot ni VIONGOZI WETU. Nchi haipo tena tupo watu tu.
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwa sasa KOBEL AFRICANA, CAMEL BAMAGA, kobel tegeta ndo vinatoa mafuta kwa ukanda wa mwenge-mbezi
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Chama legelege huzaa serekali legelege! Poleni mlioipigia sisiem kura hayo ndio mapato yake.... ufisadi, ufisadi tu.
   
 12. m

  mja JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuanze kuandama hapa jf...
  Miimi bango langu linasema

  mafuta hakuna
  umeme mgao
  shilingi haina thamani

  hatuna imani na selika
  selikali ijizuruuuu
   
 13. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Tusiyabeze mafanikio ya CCM jamani!
   
 14. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,728
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  COPEC thats the reason for that mess. Na makataba wake uta tu fu..k after some years to come. All decision basing on dharura are fake decison it will cost us. If we can its better if we suffer for thsi mess for a year rather than that deciosn...
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Serikali inajitahidi iwezavyo kuleta maisha bora kwa wananchi wake. Tatizo ni dogo sana yaani watendaji wake kwahiyo susiilaumu sana, ila tuwalaumu watendaji wake.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  si ndio waliowaweka madarakani wakati mnakula per diem amkujua hili mlitaka uende wapi na migomo mingi inakuja
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kwa comment hii - Maana tangia saa 11 alfajiri nipo hapa Africana kwenye "foleni ya mafuta"!

  Tumedhubutu - Tumeweza - Tunasonga Mbele!
   
 18. G

  Godwine JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  watendaji wa jk wako kwenye migogoro ya nini cha kufanya kwani watendaji wengi wa ngazi ya juu wanahisa kwenye kampuni za mafuta na ni sehemu ya ukwamishaji wa maagizo ya serikali,

  serikali ya jk imebaki na chombo kimoja tu kisicho na mgawanyiko ambacho ni JWTZ nadhani kadri muda unavyoenda hakuna namna ya kukwepa kukitumia dhidi ya walanguzi au kuacha serikali ya jamhuri ianguke

  watu wametanda vituoni hakuna usafiri wameanza kuona madhara ya ukosefu wa mafuta, bidhaa madukani zimeanza kupanda bei na kuadimika kama halii itaachwa sijui nini kitatokea
   
 19. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wengine tunaomba mgomo uendelee ingalau siku mbili zaidi............. Kutalipuka tu!
   
 20. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Huu Ni mtazamo for those who cant think loudly around issues!!!!, narrow minded person anaeendeshwa na ushabiki usiokuwa na maana. Watendaji sisi hatuwatambui.

  Sisi tunawatambua viongozi wa kisiasa, kwani wao ndo wamepewa dhamana ya kusimamia mali za watanzania, wakawateua watu ambao wao wanawaamini, sasa kama hawatendi kwa mujibu wa matarajio ya watanzania kwa nini hawawawajibishi?

  Hatuwezi kuwalaumu watendaji hata siku moja, kwa kuwa sisi hatuwajui na wala hatujawapa hiyo kazi.

  Umenisoma bwana mzee!!!. Sisi tutaendelea kulia na viongozi wa kisiasa, wanao wakabidhi usimamizi wa mali zetu hawa watu wanaoshirikiana kula nao, matokeo yake ikifika wakati wa kuchukua hatua serikali inakuwa na kigugumizi.
   
Loading...