Arusha leo

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Tunaomba updates za huko arusha!
Na wakati wakihutubia hao makamanda
mtujuze pia wanasema nini kuhusu kauli ya Pinda leo bungeni kwamba
"walichakachua kauli yake" kuhusu kuongea nae.
Pinda anadai hawakumwelewa vyema na kama wame watimua madiwani basi hamna haja
ya mazungumzo zaidi......
 
Back
Top Bottom