Wauza mafuta: Wameshinikizwa na CHADEMA?

Malboro

Member
Jun 24, 2011
23
11
Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao wameshinikizwa na chadema?

Ningependa sana wana CCM wenzangu mnijibu.

Nawasilisha
 
Inawezekana, CCM si wanasema chadema wanataka nchi isitawalike!!!!!!
mkuu na mimi nilitaka kuandika hivyo hivyo umeniwahi. Huu msemo wa magamba kwamba Chadema wanataka nchi isitawalike. Hapa nilipo hakuna umeme hivi sasa na mafuta hakuna na maji yamekatika tangu jana!

Kasi mpya nguvu mpya! Maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao wameshinikizwa na chadema? Ningependa sana wana ccm wenzangu mnijibu. Nawasilisha
Join Date : 24th June 2011
Posts : 9

Rep Power : 0
Hii inaonyesha ni jinsi gani hata uwelewa wako wa ku-post thread ni mdogo. Karibu sana jamvini.
 
mkuu na mimi nilitaka kuandika hivyo hivyo umeniwahi. Huu msemo wa magamba kwamba Chadema wanataka nchi isitawalike. Hapa nilipo hakuna umeme hivi sasa na mafuta hakuna na maji yamekatika tangu jana! <br />
<br />
Kasi mpya nguvu mpya! Maisha bora kwa kila Mtanzania.
<br />
<br />
we must organize people's power tumechoka
 
Join Date : 24th June 2011
Posts : 9

Rep Power : 0
Hii inaonyesha ni jinsi gani hata uwelewa wako wa ku-post thread ni mdogo. Karibu sana jamvini.
wewe kutangulia siku 14 tu unajiona mjanja? Hata wewe una uwezo mdogo sana Comrade
 
Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao wameshinikizwa na chadema?

Ningependa sana wana CCM wenzangu mnijibu.

Nawasilisha

Mnajua nini?
Mimi ninaside na hawa wafanyabiashara

In short Tanzania ni nchi ambayo ngumu sana kufanya biashara na sishangai sana kuhusu hizi charges na rushwa iliyokithiri

serikali inasema meli zinakaa siku 5 kule baharini...ukweli ni kuwa meli zinakaa mpaka siku 50 kule nje baharini kwenye foleni sasa hilo huhitaji kujua kuwa kuna incompetency sehemu na sishangai kuskia TRA na EWURA wana husika

Sasa huyu kaleta hoja na vielelezo na kasema kama kuna mtu anahitaji zaidi amtumie e-mail.

sisi tumezidi:

rushwa

urasimu

mazingira magumu kufanya biashara

Kodi zisizoeleweka kila kona badala ya kodi moja na ambayo inaeleza inafanya nini

local authorities kujaa staff ambao pia ni wala rushwa na wahuni



sasa tusitake kukaa hapa na na kutaka kuitakasa sana serikali na departments zake ili hali ukweli tunaujua lakini hatutaki kuuweka wazi. Naungana na wenye vituo hivi na nashauri its about time they come back and fight hizi slander wanaztumiwa kwa kuweka wazi jinsi wanavyonyonywa watu kama TRA,TBS,EWURA, LOCAL AUTHORITIES na kadhalika.

sitaki kuanzisha thread nyingine kwani siku hizi naona kabla hujaanzisha thread inabidi ipitie kwa GESTAPO wa JF kabla hajatundikwa so tutaendelea humu humu kuelezana

Lakini baada ya catalogs za uwongo toka serikalini mimi nikiambiwa nani nimwamini between serikali na wafanyabiashara hawa then nadhani mnajua nitakuwa upande upi
 
Join Date : 24th June 2011
Posts : 9

Rep Power : 0
Hii inaonyesha ni jinsi gani hata uwelewa wako wa ku-post thread ni mdogo. Karibu sana jamvini.

ni ujinga kuangalia join date za watu! Inamaana hautaki jamii forum ipate member wengi? Hoja yake ipo pouwah sema wewe inakukera tu.
 
Naomba wafanyabiashara wa mafuta waendeleee kugoma na naomba waendeleee zaidi kugoma kwani huu ni msaada wa Mwenyeezi Mungu kuweza kuwafungua macho watanzania uozo wa serikali yao na kutaka waweze kufanya mabadiliko

nasema tena endeleen i kugoma wafanya biashara wa mafuta na kwakuwa mafuta yanagusa jamii moja kwa moja nadhani watu watapandwa na hasira na kutaka kuibadili serikali kwa kupitia maandaamano au kupitia sanduku la kura kweli Mungu nmi mwema nahisi wakati wa mabadiliko unakuja

kama kituo cha mafuta Vingunguti kina milikiwa na CCM unatarajia nini hapo

CCM mwenyekiti JK. Inaagiza serikali Rais JK kupunguza bei ya mafuta kwa mfanyabiashara JK Junior unategemea nini hapa

JK mwenyekiti






JK serikali JK mfanyabiashara


wataaalam hebu tusaidieni kutapata formula ya hii triangle
 
CCM KWA HOJA DHAIFU NI NUMBER ONEEEE.....! KOMBA ALIWAHI KUIMBA HIVYO!

Haya sasa CCM huwa wanakuja na hoja yao ooooah CDM wanashindikiza migomo kuipinga Govt legelege, Govt kama hiyo kushindwa kuwapa wananchi haki yao je CDM kwanini wasihamasishe maandamano.....?
Watanzania leo wanashuhudia laana ya kusema uongo kila kukicha, sasa wafanyabiashara wa wamafuta ambao ni wafadhili, marafiki etc zao wanawaumbua....!

CCM jifunzeni kusema ukweli daima, Uongo ni Ulegevu wa utawala na Uoga wa kushindwa!
Walizoea kulalama khs maandamano ya wananchi yaliyokuwa yanaongozwa na CDM pasipo kufanya utafiti wa chanzo chake.
Maandamano ya CDM huwa yanasimamia mambo ya msingi ktk jamii, but CCM ktk kukwepa wajibu wao huwa wanadai CDM kinachochea Uvunjifu wa amani na kuleta madai ya kuwa CDM kutaka Govt isitawale.....!

Huu msemo wa CCM kusema zidumu fikra za Mwenyekiti cjui kama bado wanautumia? maana Govt yote imelala ktk tatizo hili ma mengineyo..., wamemtupia mpira Mr Massebu!
labda tusubri mfungo wa Ramadhani uishe labda jamaa ataamka kuja kututatulia huli tatizo!
 
Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao wameshinikizwa na chadema?

Ningependa sana wana CCM wenzangu mnijibu.

Nawasilisha
Wanajua nyoka mwenyewe hana sumu, so wanafanya wanavyotaka... nchi imekosa kiongozi tangu 2005
 
Back
Top Bottom